Recent content by chelsea fc

  1. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Hatari 4 za kutoka kimapenzi na rafiki yako

    Mwanaume kuwa na Urafiki na mwanamke ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule ya Msingi
  2. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    ukisema tutumie gharama kubwa kuutngaza utalii na wakati huku ndani ya nchi miundo mbinu ya kufika kwenye hizo sehemu ili watalii wapelekwe haipo sawa. utakuwa tabularasa. miundo mbinu ya hotels barabara bado sio rafiki. taasisi zinazosimamia utalii zenyewe ni mkanganyiko haileweki nani ni nani...
  3. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    hakuna mtu lofa kama yule since day one sijawahi kumkubali kabisa hakuna kitu mule bongo zozo
  4. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania CRANE toka nje, itakuwa inaweza kubeba tani 26 na inaizidi vipi CRANE XCMG 56000 KG yenye kuweza kubeba tani 90?

    katika watu au viongozi ambao sijawahi kuwakubali na wala siwaelewagi hapa tanzania ni huyu boya hamna kitu kabisa humo. magu alikuwa na akili sana kulipiga benji tabularasa
  5. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wengi wanadai Masoko yanayoungua hayaungui kwa bahati mbaya bali yanachomwa?

    we ukitaka kujua kuwa sio bahati mbaya baada ya soko kuungua waliounguliwa na vitu wakitaka kurudi kujenga upya vibanda vyao, wanakatazwa jiulizwe kwanini wakatwaze huku sababu ikiwa eti uchunguzi haujakamilika baada ya mda anapewa mkandarasi linajengwa jengo lingine tofauti na lilikuwepo mwanzo
  6. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Tunafanya urembo wa ukuta kwa kutumia Cement na mchanga

    nzuri hiyo babu pambana
  7. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

    Atakuwa nyapala wa Mahabusu huyo
  8. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

    Balaa hilo ndugu yangu changu hutakiwi hata kumshika kuna binadamu wa kiume wanamoyo sana kuliko hitler
  9. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

    hahaha leo ndio nimegundua kuwa Ma tabulalasa wapo wengi humu
  10. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Wakina dada nisaidieni hili, mwenzenu ameona aibu kusema!

    PHD ya ngono, ila inatofautiana kidogo na zile za mawaziri wanazoziokota chuo cha UDOM
  11. chelsea fc

    JamiiForums Tanzania Wakina dada nisaidieni hili, mwenzenu ameona aibu kusema!

    hiyo ni P.I.D
Back
Top Bottom