Baada ya kutengana miaka nane (8), juzi kanitafuta

mapololo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
360
628
Wanajamvi habari za muda huu,

Bila kuwapotezea muda niende direct kwenye mada husuka, huyu bidada tulikuwa katika mahusiano naye miaka 8 iliyopita na nikimuacha baada ya kumfumania analiwa na mume wa mtu, aliomba sana msamaha bila mafanikio na nili mtema jumla.

Harakaharaka mwaka unao fuata aliolewa kwa harusi kubwa na kwa makusudi alisambaza picha kila mahali na niliona wala haikunisumbua coz tayari na mimi nilisha kuwa katika mahusiano mengine.

Juzi Mara paaa, no mpya, kuuliza nani kajitambulisha, nikamuuliza nikusaidie nini kaanza oooh, Kuna watu nataka kuunganisha nao Wana shida ya ..., Kataja kazi ninayo fanya mm, nikamwambia asante nashukuru, nikampa maelekezo.

Kesho yake asubh kasalimia, Mara mchana salamu, Mara kila lisaa sasa haipiti hajanitafuta na watu aliyosema wa biashara siwasikii tena,

Mawazo yenu jamani huyu mtu nimfanyaje?

1642489227444.png
 
Aka 8 umeamua ku-move on,move on usimpe nafac uyo bwege...wanakujaga na mauganga hao atakupuliza utaisha km kuku akuache tena mteseke wote
Umeongea point sana mkuu, halafu inaonyesha Kesha mtengeneza mumewe maana anatuma text mpaka usiku mkubwa nazikuta asubuhi, nikimuuliza vp mwenzako anachukuliaje hali hii maana sipendi umfanyie ulivyo nifanyiaga mm, anasema Mume wangu n mzungu hana wivu,
 
Ndo ivyo mzee aliku cheat ww na sasa anataka kum cheat mumewe,So hukukosea uamuzi uliochukua na hapo pengine sio wewe peke yako hapo ma-ex wengi wanaburuza iyo K
 
Umeongea point sana mkuu, halafu inaonyesha Kesha mtengeneza mumewe maana anatuma text mpaka usiku mkubwa nazikuta asubuhi, nikimuuliza vp mwenzako anachukuliaje hali hii maana sipendi umfanyie ulivyo nifanyiaga mm, anasema Mume wangu n mzungu hana wivu,
Mpaka hapa unaonyesha ni mtu unayetamani kumuonja tena kwa kufuga upumbavu.
 
Umeongea point sana mkuu, halafu inaonyesha Kesha mtengeneza mumewe maana anatuma text mpaka usiku mkubwa nazikuta asubuhi, nikimuuliza vp mwenzako anachukuliaje hali hii maana sipendi umfanyie ulivyo nifanyiaga mm, anasema Mume wangu n mzungu hana wivu,
Hata wewe utatengenezwa no suala la muda tu
 
Huyo demu ni malaya ni kwamba anakutafta umle tu..Possibility ni kuwa kashaumia cha msingi mkomalie mkapime kwanza kisha ndio muendelee na upashaji kiporo😅 ukiona anaweka ngumu temana nae!

Raha ya Ex akijileta unamtia tu for fun unamchukulia kama zile disposable za Kimboka tu! Ukijimix uka fall in love umeisha.
 
Aka 8 umeamua ku-move on,move on usimpe nafac uyo bwege...wanakujaga na mauganga hao atakupuliza utaisha km kuku halaf anakuacha yeye(analipiza) then mnateseka wote.
Mleta mada usipuuze huo ushauri.

Mwanamke aliyetendwa anakuwa hana huruma hata kidogo, kuwa makini...
 
Mleta mada usipuuze huo ushauri.

Mwanamke aliyetendwa anakuwa hana huruma hata kidogo, kuwa makini...
Siwezi puuza kabisa mkuu, kwanza inaonyesha hamuhurumii hata mumewe ambaye nauhakika alimsitiri kipindi mm nimemuacha leo atanihurumia mm nani kwake,
All in all ni wangapi wamesha mtumia kama tabia yake ilikuwa vile na nihivi Sasa?? Na je kati ya hao ni wangapi amesha watafuta?
 
Wanajamvi habari za muda huu,

Bila kuwapotezea muda niende direct kwenye mada husuka, huyu bidada tulikuwa ktk mahusiano nae miaka 8 iliyo pita na nikimuacha baada ya kumfumania analiwa na mume wa mtu, aliomba Sana msamaha bila mafanikio na nili mtema jumla,

Harakaharaka mwaka unao fuata aliolewa kwa harusi kubwa na kwa makusudi alisambaza picha kila mahali na niliona Wala haikunisumbua coz tayari na mm nilisha kuwa ktk mahusiano mengine.

Juzi Mara paaa, no mpya, kuuliza nani kajitambulisha, nikamuuliza nikusaidie nn kaanza oooh, Kuna watu nataka kuunganisha nao Wana shida ya ..., Kataja kazi ninayo fanya mm, nikamwambia asante nashukuru, nikampa maelekezo,
Kesho yake asbh kasalimia, Mara mchana salamu, Mara kila lisaa sas haipiti hajanitafuta na watu aliyo sema wa biashara siwasikii tena,

Mawazo yenu jamani huyu mtu nimfanyaje.
Dah huyo dada ana mpango mbaya sana kwako.

Leta namba yake tumscreen anashirikiana na nani kutaka kukuingiza matatani
 
Kabisa
Huyo itakua either huko aliko hana furaha or hapelekewi moto vzuri(hype ya ndoa imeisha, anapewa mara moja kwa mwaka) so now kaukumbuka mjegeja wako...km huna hofu ya Mungu na karma mpelekee tu moto mkuu..
 
Sasa wewe unadhani anataka umuoe? Si tayari anamme wake?
We peleka moto,mpelekee moto, peleka moto
 
Wanajamvi habari za muda huu,

Bila kuwapotezea muda niende direct kwenye mada husuka, huyu bidada tulikuwa katika mahusiano naye miaka 8 iliyopita na nikimuacha baada ya kumfumania analiwa na mume wa mtu, aliomba sana msamaha bila mafanikio na nili mtema jumla.

Harakaharaka mwaka unao fuata aliolewa kwa harusi kubwa na kwa makusudi alisambaza picha kila mahali na niliona wala haikunisumbua coz tayari na mimi nilisha kuwa katika mahusiano mengine.

Juzi Mara paaa, no mpya, kuuliza nani kajitambulisha, nikamuuliza nikusaidie nini kaanza oooh, Kuna watu nataka kuunganisha nao Wana shida ya ..., Kataja kazi ninayo fanya mm, nikamwambia asante nashukuru, nikampa maelekezo.

Kesho yake asubh kasalimia, Mara mchana salamu, Mara kila lisaa sasa haipiti hajanitafuta na watu aliyosema wa biashara siwasikii tena,

Mawazo yenu jamani huyu mtu nimfanyaje?

Muulize Maza ako anaweza Kuwa Na ushauri mzuri maana anajua uzaifu wako kutuzidi; maana wanaume Kwa kawaida hatuna tabia Za aina hizo
 
Back
Top Bottom