Recent content by Chelian

  1. Chelian

    JamiiForums Tanzania CHASO SAUT kuandamana kupinga Zitto na Mkumbo kuvuliwa uongozi

    Bwahaaaaahahaaa!!!!
  2. Chelian

    JamiiForums Tanzania Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

    Yote sawa! Mi nnachoshangaa ni kwanini ccm inasymphathise na zitto na inamtetea!! Why????? wana uchungu gani nae!! Ili kwamba aendelee kuwa na nyazifa zake cdm!!
  3. Chelian

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mh. Zitto Kabwe (mb)

    Ningemshauri abaki tu kuwa mwanachama wa Chadema aachane na mambo ya uongozi! Pia akabiliane kiume na changamoto zinazomkabili as long as no man is perfect!
  4. Chelian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Wengi Sana Hasa Wanawake Wamefanya WhatsApp Sehemu ya Kujifariji

    Yaan najuuuta this watsapp thing mme wangu anacontanct na wanawake tuu mpk midnight, hatuna ht muda wa kujadili yetu ni watsapp mwanzo mwisho!! Hlf mi nikigusa ni balaa bin ugomvi! Asante sana mtoa mada!
  5. Chelian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndio ujumbe mzito aliouacha marehemu Gabriel kabla ya kifo chake kwenye mtandao wa facebook

    Due to my vision bastola zinagawiwa ovyo na wanaogaiwa hawana cha kuzifanyia, Kuweni makini jaman leo kwao kesho kwa wengine
  6. Chelian

    JamiiForums Tanzania Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

    Yaaaan apo tu ata mi amenigusa !
  7. Chelian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bora ana sifa zipi?

    Awe mvumilivu sana coz men are unbearable!
  8. Chelian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani hivi kwanini wadada wa siku hizi wakipiga picha hugeuza makalio yao???

    Kishae umeniwahi kusema ayo ayo, ukweli ni kwamba awajiamini! Mwanamke anaejiamini hana cha kutangaza uzuri na ubora wake huonekana tu!
  9. Chelian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria umemuaibishi mwanamke mwenzako,umeinajisi taaluma

    Nyani Ngabu mi pia nakuunga mkono ktk hilo!
  10. Chelian

    JamiiForums Tanzania SHow ya Wema sepetu. EATV

    Ki ukweli show inabore sijui mbeleni labda kitaeleweka!
  11. Chelian

    JamiiForums Tanzania SHow ya Wema sepetu. EATV

    Ki ukweli show inabore sijui mbeleni labda kitaeleweka!
  12. Chelian

    JamiiForums Tanzania SHow ya Wema sepetu. EATV

    Afadhali wewe unaangalia na iyo comedy yan mm ni isidingo na taarifa ya habari tu
  13. Chelian

    JamiiForums Tanzania python

    Mi pia nataka kuliona!
  14. Chelian

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

    Ndo ivo tena mkuu Thobias!
  15. Chelian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama na mabinti wa siku hizi mnatabia mbaya sana!!!

    Duuuuh hii ni noma sana
Back
Top Bottom