Recent content by Cheko Lamhenga

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sasa Katavi kupata Umeme wa uhakika wa Grid ya Taifa

    Matumizi ya umeme wa mafuta yamefika ukigoni chereko kwa wana Katavi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Ok ndiyo maana ameamua kusema haji mpaka wamuhakikishie usalama wakati huko nyuma alisema atakuja na Serikali ya Magufuli itamlinda. Ameona maadui zake wako ndani mwake.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kutosajili laini ya Simu kutozwa faini ya Tsh milioni 5 au kifungo cha mwaka mmoja jela

    Kweli hapa tutasajili bila kupenda. JAMANI TUHAMASISHANE KUSAJILI KUEPUKA KUTOA MAHELA AU KUFUNGWA.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Waenda mahakamani kuomba kufutwa kwa ukomo wa Urais. Wadai ukomo unazuia maendeleo. Ni mkakati wa kufanya urais usio na mwisho Tanzania

    Wanatafuta nini wakati katiba yetu hairuhusu na waliopo madarakani wameshasema wataachia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    Kwani uongo si kweli huwa anaitumia.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Watendaji Kata nchi nzima

    Tunamshukuru Mhe. Rais kwa kuwakumbusha majukumu yao hawa ndugu zetu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanashuhudia utiaji saini ujenzi daraja la Busisi Mwanza

    Mambo ni fire ✔
  8. C

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia mikutano ya Mbowe katika jimbo lake kutokana na ziara za DC Sabaya

    Anamsiba hata kama angeruhusiwa asingeweza kufanya
  9. C

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

    Mmmmhhhh hapo umezidisha Ikulu itaenda Dodoma na siyo huko unakosema.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

    Naona unatafuta namna ya kutudanganya wanyama hawawezi kuvuka mto kagera tuongee mengine lakini siyo ya kuinufaisha Rwanda.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo inawaibia Watanzania

    Kwani saizi wanaorejesha mkopo wanakatwa asilimia ngapi?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni kati ya wenye 'Nguvu ya dola' na wenye 'Akili ya dola'

    hapo angejikataa mapema.
Back
Top Bottom