Recent content by Cheidhue

  1. C

    Mshauri wa Usafirishaji/Uchukuzi

    nitumie number yako kwenye email hii masterceh2009@gmail.com nitakupigia.
  2. C

    Mshauri wa Usafirishaji/Uchukuzi

    Je, una ozoefu katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi? Kwa mfano: Tours, Taxi, Trucks, Daladala nk. Je, unaweza kufanya kazi kama afisa masoko (part time) katika sekta hiyo au kuwa mshauri? Tafadhali tuma number yako.
  3. C

    Mshauri wa Usafirishaji/Uchukuzi

    Je Una ozoefu katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi? Kwa mfano: Tours, Taxi, Trucks, Daladala nk. Je unaweza kufanya kazi kama afisa masoko (part time) katika sekta hiyo au kuwa mshauri? Tafadhali tuma number yako.
  4. C

    Mabasi ya UDA hayaonekani

    Hi Guys, Je ofisi za DARCOBOA ziki wapi? na mnaweza kunisaidia number za maafisa wake nataka kuanzisha biashara ya Daladala.. Nikipata number Mwenyekiti (Said Mabrouk) au mtendaji wake nitashukuru.
  5. C

    Msaada wa kiufundi kwa RAV 4

    Nipo Dar-es-salaam
  6. C

    Msaada wa kiufundi kwa RAV 4

    Wana Jamii Forums, Mimi Nina RAV 4 model ya 1999. Inatatizo la kutoa sauti ya kugonga nyuma kwenye maeneo ya kwenye diff ya nyuma, hasa ninapo-engage gear. Je kuna mtu yeyote anafahamu solution ya Tatizo hilo? au kama unafahamu fundi mzuri please nipatie number yake. Wana Jamii Forums...
  7. C

    Msaada wa kiufundi kwa RAV 4

    Wana Jamii Forums, Mimi Nina RAV 4 model ya 1999. Inatatizo la kutoa sauti ya kugonga nyuma kwenye maeneo ya kwenye diff ya nyuma, hasa ninapo-engage gear. Je kuna mtu yeyote anafahamu solution ya Tatizo hilo? au kama unafahamu fundi mzuri please nipatie number yake. Thanks Mdau.
  8. C

    Nahitaji Msaada wa haraka

    Wana Jamii Forums, Nahitaji Gearbox (Transmission Oil) yanayoitwa CTV NS-1, je unajua yanapatikana wapi jijini Dar-es-salaam? Please Help
  9. C

    Kikwete ana kipi special hadi asingiziwe?

    Hali zenu jamani. Nawatafuta International Correspondence Schools, Dar-es-salaam. Hawapatikani kwenye simu zao za Landline. Nisaidie kunielekeza walipo. Asanteni.
  10. C

    Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Please read this "Mwangaza": Mmea wa Mlonge- "Moringa Oleivera"
  11. C

    Natafuta rafiki wa kiume company tu

    tuwasiliane masterceh2009@gmail.com
  12. C

    Discontinue chuoni

    Chukua transcript yako tafuta vyuo vya nje, unaenda kumalizia mwaka wa mwisho bila tatizo. Wako watu wamefanya hivyo na sasa maisha yao ni mazuri sana. Pia unaweza kumalizia kwa distance learning kwenye hivyo vyuo vya nje. mifumo ya elimu ya nchi zetu haiko supportive sana. Huo ndo ushauri...
  13. C

    Ajali mbaya ya ndege kutokea Tanzania soon

    Kakajambazi: Ni jambo zuri ulilofanya kushikisha watu jambo hili. lakini naomba Forum imejaa mizaha sana. Naomba kukuuliza: Je wewe ni mlokole? Je, umeshawahi kusikia huduma kama vile New Life in Christ, Prayer action Tanzania, Vikundi mbali mbali vya maombi? au hata kanisani kwako. Could you...
Back
Top Bottom