Recent content by cheichei2010

  1. C

    Malipo ya fao la kujitoa NSSF

    Mafao ya NSSF yaliyo chini ya 15mil kama sikosei unalipwa ndani ya 30 days kwa sababu yana kuwa processed kwenye Branch husika,ila Zaidi ya hapo mpaka yawe approved Head office ndio maana ya hizo 90 days. changamoto iliyo mbele yako ni kwamba walisitisha kutoa hiyo ya Fao la kujitoa pending to...
  2. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Ukienda Kwa mwendo huu wa kukaririshwa huwezi Fika.umepotoshwa.
  3. C

    CHADEMA's finest lawyers, ubunge EAC na kisa cha mshamba mjivuni

    Umechangia utafikiri umetoka kuanguka kwenye mti. Hivi theluthi moja ya 2 ni ngapi?
  4. C

    Haijawahi kutokea serikali kushindwa kutekeleza bajeti yake na bunge kushindwa kuisimamia serikali

    Labda Hauna taarifa sahihi. Budget tafuta budget mbili Za Mkwere kabla hajatoka madarakani, nilihudhuria kikao cha budget ya halmashauri, wakipelekewa only 20percent ya development expenditure, miradi yote ilisimama.Haya unayoyaona ni Matokeo.
  5. C

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Umekurupuka Sana, Hao huwa hawakurupuki. Kwanza saa hizi mtu ana mwaka mmoja tu madarakani, kaachiwa matatizo mengi anahangaika nayo na Bado anazidi kujifunza. Pamoja na matatizo Kwa mwaka mmoja amejitahidi. Hilo LA katiba Kama Huyo ndg yako aliyelianzisha akalitia mwenyewe Kapuni unataka Huyu...
  6. C

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Umewahi kusikia kamsemo kanakosema haki ya kusikilizwa? Mwandishi alikua sahihi kumuhoji mtuhumiwa.Huu Ulikua muda sahihi Kwa mtuhumiwa kusafisha jina lake.
  7. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Unajificha kwenye chaka la rohomtakatifu na chuki mlizokaririshwa dhidi ya Kanisa katoliki. Huo ufunuo uliosoma, unasema mwisho wa dunia utakapokaribia Kanisa la Kristo litaungana na kuwa moja. Ilimaanisha nini?
  8. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Mbona umeongea mambo ya kawaida Sana. Huo ni msingi wa ukristo Sio usabato. Kama huamini katika fumbo hilo huwezi kuwa mkristo
  9. C

    Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

    Hiyo mikataba alisign nani?
  10. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Hujitambui. Kwa hiyo wewe isipowatambua wazazi wako wanapoteza haki ya uzazi
  11. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Hivi Biblia ilipaswa kuwa na vitabu .vingapi? Mnakaririshwa sana ndio Shida.
  12. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Ndio maana Kanisa katoliki linabaki kuwa imara kwasababu liliisha pitia majaribu mengi na likarekebisha Makosa.
  13. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Ukiwa unauliza utajifunza. Iko hivi. Kuna kipindi kanisa liliwahi kupitia kipindi kigumu Sana. Kwani siasa ilichanganyika na Dini.Viongozi wa dini ilifikia wakati wanapewa nyadhifa za kisiasa na hata wanasiasa wanapewa baadhi ya nyadhifa kwenye dini. Sasa ilikuja kufikia kipindi wanasiasa wakawa...
Back
Top Bottom