Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

RC DAUDI BASHITE kwa nini unakalia ajira za watoto wa masikini waliosoma kwa msoto na wapo mitaani.RC DAUDI BASHITE Achia hio nafasi watoto wa masikini wapate ajira
 
Halafu mkishajua anatumia cheti cha mtu ndio tutakuwa tumemaliza dawa za kulevya, kwa hiyo lengo ni kumuondoa madarakani ili asitaje watu, watanzania watu wa hovyo sana.
Tutakua tumeondoa vyeti feki serikalini.
 
Sawa Paulo makonda ana matatizo yake lakini ili gazeti limeanza vita na makonda baada tu ya Manji kulala ndani
Kabisa, wanaonekana jinsi wanavyopenda rushwa na kusafisha vigogo hawako kabisa kwa jamii, jamii inateketea na madawa nyie mnahangaika kutafuta vyeti vya makonda kwa faida ya nani, kwa nn msifanye uchunguzi kuwahoji wauza unga!
 
Hahaha jamaa mlaini namna hii, sasa alifikiria nini kuwakosea watu heshima!? Hii laana itamtafuna mpaka aombe msamaha
Kiukweli wamechemsha kabisaaa.
Sasa walikuwa wapi kuliza maswali hayo alipokuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni.
Au hapo alikuwa siyo kiongozi.
Hapo ndipo utakapoona wandishi nao kumbe hawana jipya.
 
Makonda ndo hana akili kwa kufoji vyeti na kuhongwa vyeo kwa kukubali kuwa mtoto.
 
mungu tuepushie mbali fedha upindua milima ila tusubiri tuone maana tusije tukahukumiwa
 
Tutakua tumeondoa vyeti feki serikalini.
Mkishsondoa vyeti feki na hayo madawa ya kulevya yatakuwa yameisha, na mbona mlikuwa kimya kipindi chote cha uhakiki mpaka tunakaribia kumaliza mlikuwa wapi, eti wanahaha kutafuta shule aliyosoma wakati sasa tuna tatizo la madawa ya kulevya.
 
Kiukweli wamechemsha kabisaaa.
Sasa walikuwa wapi kuliza maswali hayo alipokuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni.
Au hapo alikuwa siyo kiongozi.
Hapo ndipo utakapoona wandishi nao kumbe hawana jipya.
Hawana jipya na hawako kwa maslahi ya wananchi, ni wachumia tumbo tu, badala kutatua tatizo la madawa ya kulevya wanahangaika na shule ya makonda.
 
Mkishsondoa vyeti feki na hayo madawa ya kulevya yatakuwa yameisha, na mbona mlikuwa kimya kipindi chote cha uhakiki mpaka tunakaribia kumaliza mlikuwa wapi, eti wanahaha kutafuta shule aliyosoma wakati sasa tuna tatizo la madawa ya kulevya.
Kama watumishi wengine walifukuzwa kwa kufoji vyeti na yy itabid afukuzwe ili tuboreshe utendaji wa kazi serikalini
 
Yaani Mange Kimambi anaweza kupata taarifa nyeti kuliko waandishi wengi wa Tanzania. This is shameful. Unakwenda kumwuliza mhusika kuhusu issue yake mwenyewe unataka kupata ukweli gani? what does investigative journalism mean to you???
Umewahi kusikia kamsemo kanakosema haki ya kusikilizwa? Mwandishi alikua sahihi kumuhoji mtuhumiwa.Huu Ulikua muda sahihi Kwa mtuhumiwa kusafisha jina lake.
 
Makonda ni mtumishi hewa kama wengine. Rais Magufuli aache uoga wa kumtumbua kama anavyowatumbua wengine waliofoji vyeti. Haiingii akilini kuona wengine wakitumbuliwa huku yeye akiendelea kupeta.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kama watumishi wengine walifukuzwa kwa kufoji vyeti na yy itabid afukuzwe ili tuboreshe utendaji wa kazi serikalini
Mbona kabla ya vita ya madawa hakuwahi kusemwa na inaonekana kumbe mnajua kila kitu?
 
Hii issue mimi nilishawahi kuileta hapa mwaka jana ...lakini niliandika kimzaha na sikuwa that serious ,kwenye pita pita zangu niliwahi kunasa taarifa kuwa huyu bwana alikuwa anaakaa kwa ndugu yake [aunt] mbezi Louis, baada ya kuwa amefeli shule , na alikuwa hana issue anafanya shughuli za vibarua vya hapa na pale ...ila pamoja na kuwa hakufaulu ni aina ya watu ambao alionyesha kuipenda shule lakini mitihani anafeli[ mliosoma mnajuwa kuna watu wasongo lakini mitihani ikija wanafeli ] ....alikuwa wa hivyo
Kwenye hiyo familia kulikuwa na kijana wa nyumba hiyo ambaye alikuwa amefaulu vizuri akawa spoiled akawa hataki shule ....so yule baba wa familia akakasirika akasema .,angalia mwenzako anapenda shule weewe hupendi ....akaamua achukue cheti cha mwenzake aende shule

so bado inahitajika kuwa makini kujuwa cheti alichofoji ni cha form six au form four .....lakini am convinced ni cha 6 ndio maana akaweza kuingia ushirika .....ambako degree ya miaka 3 yeye alisoma miaka 5 tena akawa amefeli ila kwa msaada wa Membe,Mwakyembe na Sitta ...aliowalilia kwa madai amefeli kwa ajili ya kufanya kazi zao ...wakaongea akapitishwa na seneti ya chuo kupata degree ...[ila kihalisia ali DISCO]

SO simply Makonda anaweza kuwa na ule ujasiri ,na udhubutu fulani lakini he is never bright ....ni mtu anayefaaa kutumwa kuharibu au kufanya propaganda fulani lakini he is never good for something serious ..chenye kuhitaji procedures na weledi
 
japo me ni CHADEMA ,lakini habari hii ukiitazama kwa jicho l kiuandishi,hasa nami nikiwa nimesomea fani hiyo inawalakini na makosa mengi ya kiuandishi na mtililiko,hasa pale wanapodai walimwita Makonda pembeni,kuhusu cmu na majibu yake,kuhusu kuacha kufatilia habari huko anakodaiwa kusomea shule ya msingi,piahuyu mtu aliehojiwa akidaiwa vyeti vyake ndivyo anavyotumia Makonda ameacha shaka na majibu yake yalikuwa na walakini mkubwa,inaonekana ameshapigiwa cmu na mhusika anaetuhumiwa kumpa cheti na akaambiwa namna ya kujibu,maana alikuwa anajibu as if anamtetea na kujibu mashambulizi,hasa anaposema wanaomtafta hyo dogo,means anawajua ama ameambiwa na makonda kwamba anataftwa ili achafuliwe
 
Back
Top Bottom