Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Ukweli nimeshangazwa Na Bajeti ya 2016/2017 ya trilioni 29 kutekelezwa Kwa Asilimia 34 tu .Sidhani kama kuna serikali zilizopita ziliwahi kushindwa kama hii.Tunajiuliza nani wa kulaumiwa je ni Watendaji wa serikali au ni Bunge kushindwa kuisimamia Serikali?Kama uwezo wa kukusanya maduhuli wa Serikali ni mdogo basi tupange bajeti kulingana Na makusanyo Yetu.