Recent content by CHECHEMLENDA

  1. C

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

    "Maini tunayokula ndio hayohayo mnayokula nyie". Mhh, hapo kwenye maini sawa, je kwenye elimu kwa nini tusiwe pamoja kwenye vumbi na vigoda?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Ni suala la muda. Huyu anajijua, ipo siku atakuwa mung'anda
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Martha Karua: Wageni 19, Wakenya wawili walisaidia kuvuruga uchaguzi wa urais

    Mama keshaanza kuwa kituko. Mwanzoni alionekana ni Mama aliyekuwa na sifa njema miongoni mwa wanamajumui, sasa amekuwa hobehobe.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

    Naona mahakama inataka kurefusha shauri. Hii kitu ipo wazi na wala haina haja ya kuanza kurumbana mahakamani. Sijui kwa sheria zetu zimekaaje lakini kwa akili ya kawaida, mali isiyo ya marehemu haihusiki katika mirathi ya marehemu. Yaani huwezi kurithi kisicho halali yako!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

    Hili shauri lipo wazi. Mali isiyokuwa ya Mengi inatakiwa iondolewe kwenye mirathi yake ndipo mgawanyo mwingine ufanyike!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo watumishi wanawekewa mshahara benki na wakienda kutoa wanapigwa tozo?

    Eti tukafungue akaunti Burundi!!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo watumishi wanawekewa mshahara benki na wakienda kutoa wanapigwa tozo?

    Hapa dawa ni kulipwa mishahara kupitia dirishani. Haiwezekani mtu alazimishwe kupata haki yake ya mshahara halafu hiyo njia iwe na vigingi vingii ambavyo vinapunguza pato lake!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Tozo na VAT ni nini?

    Tozo ni kwa maendeleo ya Taifa, ila VAT sijui wana kusudi0 gani?!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tache maneno: DED wa Itigi ni msomi

    Hivi huyu alisahaulika au alipelekwa mung'anda?
  10. C

    JamiiForums Tanzania ITV, CLOUDS, TBC, na vituo vingine vya habari jifunzeni hili kupitia CNN

    Ila ukae ufahamu nao wako makini sana kwenye suala la maslahi ya Marekani. Iwapo maslahi ya Marekani yapo mashakani wanafanya spinning. Nao pia ni kama popo. Tizama hivi sasa, hata Trump afanye jema hawampi airtime, Urusi au Putin hata wafanye kizuri hawatangazi, Iran hata wafanye jema...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema imewapa muda TUCTA wakajadiliane kuhusu mishahara mipya, na TUCTA wasema wameipa muda serikali

    Mhh! Ama kweli, kama angalikuwepo Mgaya, ngoma ingalichezeka. Ila kwa hawa waliopo ni sufri!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

    Asifiche sana hapa ilitamkwa na Rais wa Tifitifu kwamb "Ingawa mmeshinda lakini chupi zenu zemerowa ma*i"
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna celebrity wa kike mrembo na mwenye hela kuliko Irene Uwoya?

    Huyu kapata mwekezaji mwenye wadhifa ila huo wadhifa ukiota mbawa atarudi kulekule kwa mparange!
Back
Top Bottom