Recent content by chech number

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msekwa apigilia msumari wa moto kwa Lowassa na Membe, ukiukwaji wa masharti kuwaengua

    Wacha kukiuka Yale ya kwanza Na kutuma wrnyeviti ea mikoa Na Mzee kinguge kutisha kamati eti hakatwi MTU Na eti hatutakubali jina la lowassa kukatwa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Magazeti: Zitto ataja majina ya walioficha mabilioni Uswizi

    Makinda kumbuka una rudi Uraiani
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tunataka CCM ituletee mgombea Urais asie na doa la Ufisadi

    CCM hawana MTU asiye Na DOA wote wana madoa kama CHUI
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya baadhi ya wajumbe wa NEC watakaoenda Dodoma wapitie Mirembe .

    Lowassa akipitishwa ataunda serikali ya mafisafi wezi Na vihiyo kama vile Msukuma
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani ni kweli wanatetea maslahi ya Taifa au wana Agenda zao za siri?

    Return jaribu kutumia akili japo kidogo mswada wenye vipengere zaidi ya mia 300 ujadiliwe kwa dharura inaingia akilini?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

    Kibonde unafikiri utapewa U DC? Acha kutafuta sifa Mkuu au unataka tuwambie Polisi wakukimbize kama Siku zile?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wanasheria kufungua kesi mahakamani kudai kutenguliwa kwa miswada ya Petroli na Gesi!

    Heko wanasheria fanyeni hivyo SERIKALI YACCM INADHARAU SANA WATANZANIA
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yusuph Manji ndiye Meya wa Jiji la Dar ajaye

    Inawezekana CCM hata ukiwa unajua kiarabu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dream House: Tunachora Ramani za nyumba za kisasa

    To a elevations au ground plans tu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

    Iringa moja anzeni Kupima pressure kwani mtakufa kwa mafuriko kama mlivyofurika kumdhamini Mamvi hapiti rudisheni hela zake
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

    Kibonde kibonde acha hizo Utaumia bila kujua nani kakuumiza wewe kweli kama jina lako
  12. C

    JamiiForums Tanzania Marando: Tuna mengi ya Lowassa lakini kwa sasa tunakaa kimya

    Well done UKAWA
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM kukutana Julai 04, 2015 saa nne asubuhi, Dodoma

    LOWASSA hapendwi ila anacheza Na UMASKINI WENU NA NJAA ZENU
  14. C

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Miswada ya Mafuta na Gesi inashinikizwa na MCC ya Marekani

    Jamani watanzania tutakuwa tunanyanyaswa Na hawa MACCM mpaka lini hebu tujiulize hiyo mikataba kwanini iletwe kwa HATI YADHARURA? Ina haraka gani? Chonde chonde tuibwage CCM oktoba 2015
  15. C

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Wamezoea kupitisha mambo ya hovyo mapendekezo ya katiba mpya yamewatokea puani maccm tutaonana kwenye box la kura oktoba 2015
Back
Top Bottom