Tunataka CCM ituletee mgombea Urais asie na doa la Ufisadi

ndembeke

Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
23
Reaction score
3
Wiki hii Vikao vya CCM vya mchujo na mapendekezo na hatimaye kumpata Mgombea Urais kwa kuchaguliwa na mkutano mkuu wa CCM Taifa July 12,Jpili wiki ijayo.

Rai yg kwa viongozi na matarajio ya Watanzania wana CCM na wasio wanachama wa CCM ni kuona na kusikia viongozi hao wa chama tawala wanatuletea mgombea asiye na doa la ufisadi,muadilifu na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

CCM bado kina nguvu ya kupata ushindi ktk uchaguzi mkuu mwaka huu iwapo tu watakuwa makini ktk kumpata mtu safii mwenye uwezo wa kwenda kasi kama Taifa hili linavyotaka na Chama hicho kinao wagombea hao wasiodhidi watano kati ya 42 waliotia nia.

Shime shime CCM macho na masikio yetu wiki hii watanzania wote ni makao makuu ya nchi yetu Dodoma.
 
JK akitaka kupata usingizi, basi apambane Magufuli abebe bendera ya chama....vinginevyo ajiandae kukabidhi funguo za magogoni kwa Prof. Lipumba
 
Rabda huyo mgombea wakamkope nchi/chama kingine cha siasa ila sio ndani ya ccm
 
Wiki hii Vikao vya Ccm vya mchujo na mapendekezo na hatimaye kumpata Mgombea Urais kwa kuchaguliwa na mkutano mkuu wa Ccm Taifa July 12,Jpili wiki ijayo.
Rai yg kwa viongozi na matarajio ya Watanzania wana Ccm na wasio wanachama wa Ccm ni kuona na kusikia viongozi hao wa chama tawala wanatuletea mgombea asiye na doa la ufisadi,muadilifu na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa letu.
Ccm bado kina nguvu ya kupata ushindi ktk uchaguzi mkuu mwaka huu iwapo tu watakuwa makini ktk kumpata mtu safii mwenye uwezo wa kwenda kasi km Taifa hili linavyotaka na Chama hicho kinao wagombea hao wasiodhidi watano kati ya 42 waliotia nia
Shimw shime Ccm macho na masikio yetu wiki hii watanzania wote ni makao makuu ya nchi yetu Dodoma.
That falacy of generalization you use is for you and your husband because iven you is a fisadi,how do you come with such a statement while u know all ccm are mafisadi?
 
Ccm itampata wapi mgombea asiye na doa la ufisadi ili hali ufisadi ndani ya Ccm ni ibaada!! Yaani ni sawa na kuomba kiti moto nyumbani kwa ustaadhi
 
Adobe pls tunakuheshimu, achana na lugha za watu ..
 
Unamtafuta mgombea msafi ndani ya Ccm?.Unachekesha sana,ila kiukweli nitawadharau sana wananchi watakao mchagua mgombea wa Ccm na hata jimboni kwangu ntakuwa tayari kuhama eneo hilo
 
Wiki hii Vikao vya Ccm vya mchujo na mapendekezo na hatimaye kumpata Mgombea Urais kwa kuchaguliwa na mkutano mkuu wa Ccm Taifa July 12,Jpili wiki ijayo.
Rai yg kwa viongozi na matarajio ya Watanzania wana Ccm na wasio wanachama wa Ccm ni kuona na kusikia viongozi hao wa chama tawala wanatuletea mgombea asiye na doa la ufisadi,muadilifu na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa letu.
Ccm bado kina nguvu ya kupata ushindi ktk uchaguzi mkuu mwaka huu iwapo tu watakuwa makini ktk kumpata mtu safii mwenye uwezo wa kwenda kasi km Taifa hili linavyotaka na Chama hicho kinao wagombea hao wasiodhidi watano kati ya 42 waliotia nia
Shimw shime Ccm macho na masikio yetu wiki hii watanzania wote ni makao makuu ya nchi yetu Dodoma.
Pole. Endelea kuvaa bendera ya ccm shingoni mwako badala ya kuitundika kwenye mlingoti!
 
Wiki hii Vikao vya Ccm vya mchujo na mapendekezo na hatimaye kumpata Mgombea Urais kwa kuchaguliwa na mkutano mkuu wa Ccm Taifa July 12,Jpili wiki ijayo.
Rai yg kwa viongozi na matarajio ya Watanzania wana Ccm na wasio wanachama wa Ccm ni kuona na kusikia viongozi hao wa chama tawala wanatuletea mgombea asiye na doa la ufisadi,muadilifu na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa letu.
Ccm bado kina nguvu ya kupata ushindi ktk uchaguzi mkuu mwaka huu iwapo tu watakuwa makini ktk kumpata mtu safii mwenye uwezo wa kwenda kasi km Taifa hili linavyotaka na Chama hicho kinao wagombea hao wasiodhidi watano kati ya 42 waliotia nia
Shimw shime Ccm macho na masikio yetu wiki hii watanzania wote ni makao makuu ya nchi yetu Dodoma.

Hata wewe tukikupa home work ya kutafuta MMOJA asiyekuwa na DOA miongoni mwa hao 38 waliorudisha fomu hutaweza kumpata hata mmoja.
 
Haya yatakuwa maajabu makubwa, CCM ni chama cha mafisadi, wagombea wote waliochukua fomu wana madoa makubwa ya kifisadi, wajumbe wengi wa vikao vya maamuzi ndani ya CCM ni mafisadi, sasa unategemea nini hapo?
Panga pangua mgombea urais wa CCM ni lazima atakuwa FISADI MKUBWA ZAIDI.
 
Back
Top Bottom