Recent content by Che Mkira

  1. Che Mkira

    Pata mkopo kwa dhamana ya vyeti

    Habari wakuu? Kampuni ya DMS inatoa mikopo kwa dhamana ya vyeti. Kama uko tayari tufahamishe juu ya utayari wako na sehemu uliyopo tutakufikia.
  2. Che Mkira

    Fine ya traffic isipolipwa kwa wakati!

    Wanajamvi habari? Nimewahi kufanya makosa ya barabarani na kuandikiwa kulipa fine ya 30,000 mara tatu kwa nyakati tofauti. Lakini kutokana na sababu mbalimbali sijaweza kulipa mpaka hivi sasa. Sijui natakiwa kulipa kiasi gani kwani nasikia ipo interest inayoongezeka na sijui namna ya kulipa...
  3. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Mapenzi mengi. Course mlenda mapenzi jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Mwakyembe kilaza Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Unataka tujadili Sheria ya Tumaini ambayo imetoa first class zaidi ya 200 wakati hata miaka 20 haijafika toka kuanzishwa kwake? Tuache tujadili kitivo kongwe na nguli cha sheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Yule Mzee wakati ule alikuwa akifundisha land law. Sijui kama bado yupo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Hao wawili sidhani. Labda fisadi nyoka wa makengeza Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Inahitaji akili ya ajabu kubeza mafanikio ya Rose Migiro, Kabudi au Orenga kwasababu hawana pesa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Huyu ndugu anadhani mafanikio ni pesa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Mafanikio ni zaidi ya pesa ndugu. James Orenga ni mwanasiasa na mwanasheria machachari nchini Kenya. Ni kigogo wa NASA. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Hawa ni kati ya waliopata ufaulu wa kawaida. Kuna mmoja hapo alipata ufaulu wa chini zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Che Mkira

    Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

    Habari viongozi? Ni muda kitambo nimekuwa nikifuatilia kujua historia ya chuo kikuu cha Dar es salaam kujua watu waliofanya vizuri zaidi katika kitivo kongwe cha sheria. Kwa ufuatiliaji wangu nimebaini waliopata daraja la kwanza (first class) toka shule hiyo inaanzishwa 1961 ni watu 15. Wa...
  13. Che Mkira

    USHUHUDA: JamiiForums imenipa mtoto wa kiume

    Habari wakuu. Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Rejea Uzi Wangu >> Nimetafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nifanyeje? Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina > Chagua jinsia ya...
  14. Che Mkira

    Je, kuna thesaurus dictionary ya kiswahili?

    Wakuu habari? Nimekuwa nikitafuta sana kamusi ya kiswahili yenye kutoa maana zaidi ya moja katika kila neno. Kwa lugha ya kingereza kamusi hii inaitwa "thesaurus dictionary". Je, kuna yeyote anayeifahamu hata moja. Kama ipo, inapatikana wapi? Natanguliza shukurani!
Back
Top Bottom