Qurani Inasema ni Yesu pekee
ni
Neno la Mungu, kama Yohana 1:1...
Pia inasema Yesu ni Roho ya Mungu:
yaani ni Roho Takatifu ambapo Biblia inasema Roho Mtakatifu
Hivyo kutokana na Qurani 4:171
Yesu pekee ndiye
1: Masihi
2: Neno la Mungu
3 : Roho Mtakatifu
Je Yesu wako Watatu ?
Qurani Inasema ni Yesu pekee
ni
Neno la Mungu, kama Yohana 1:1...
Pia inasema Yesu ni Roho ya Mungu:
yaani ni Roho Takatifu ambapo Biblia inasema Roho Mtakatifu
Hivyo kutokana na Qurani 4:171
Yesu pekee ndiye
1: Masihi
2: Neno la Mungu
3 : Roho Mtakatifu
Je Yesu wako Watatu ?
Yaani wewe uwaite viongozi wa Nchi ya marekani vichaa na wapumbavu?
Hao viongozi wenye busara wako wapi na Nchi zao ni zipi kwani?
Kila Nchi Ina Sheria na kanuni zake za kuendesha Nchi:
Maendeleo ya nchi ndio ishara ya Uongozi Bora:
Unataka uwapangie viongozi wa Marekani namna Bora ya...
Wakristo vita ya Gaza haituhusu kabisa na msituhusishe:
Watanzania wenzetu wawili waliuliwa na Hamasi hayo ndio tunasikitika:
Wayahudi sio Wakristo na kwa mujibu wa kitabu chenu kinaitambua Nchi ya Israeli na hakiitambui kabisa Nchi inayo itwa Palestina wala eneo linaloitwa Gaza:
Allah anasema...
Watu wameuwana sana
Sudani, Rwanda, Somalia,
Kongo DRC, Msumbiji, Angola Nigeria nk.
kote hukowatu walikuwa kimyaa
Kuuliwa Wapalestina kwa kumchokoza Israeli ndio kinawauma sana:
Watumeni Tena Hamas wakawavamie Israeli na kuwauwa na kuwateka muone Moto wake:
Dunia inataka chakula, miundombinu...
Nani anakuambia ni lazima kila mtu awe Mwislamu?
ili iwe nini ?
Wayahudi hawataki kabisa mtu asiye myahudi ajiunge na Dini Yao ya kiyahudi
Dunia inataka Sayansi na teknolojia na sio kuinama kuelekea Maka
Wewe kama umebahatika kuwa Mwislamu ridhika na Dini yako
Maana mnasema Dunia yote itakuwa ya...
Unaonaje unakutana na mtu bila kumwuliza anakuambia
"Mimi ni mtu wa haki"
"Mimi ni mtu wa Amani"
"Mimi ni mtu wa kweli"
"Mimi ndio mtu pekee ninayemjua Mungu wa kweli"
"Mimi ni mtu timamu"
"Kunishukia mimi haitakiwi ni phobia"
Be aware
Timu Bora mnaishia Makundi CAF:
Mnawaza kuishusha Simba kwenye ranking wakati mnashindwa kuchukua nafasi yake:
Mnafanya juu chini kuiporomosha Simba kwenye CAF Ranking mkiwa huko huko chini:.
Yaani tudhalilike wote:.
Yanga kama sio viongozi wa Nchi kuwabeba msingekuwa hapo mlipo:
Hadi Marefa...
Mtawajua kwa matendo Yao:
Shetani hana msamaha:
we angalia mtu mume na mke wakifumaniwa Mwanamke anapigwa mawe Hadi afe:
Mwanamume anachapwa kiboko kimoja tu:
Yesu aliletewa Mwanamke tu kuwa amezini na anatakiwa kupigwa mawe Hadi afe:
Mwanamume akaachwa sasa huyo Mwanamke alizini na nani:
Wakati...
Naomba jibu
Allah anaitwa nani?
Narudia tena Kuna miungu mingi sana na yote Ina majina yake:
Allah wa Qurani, yaani Mungu wa Waislamu Mtume wake Muhamadi Jina lake ni nani ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.