Recent content by Chaz Koillah

  1. C

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Bustani ya Eden dhambi ilianzia pale ndipo tukafukuzwa akaja Yesu Kristo kuturudisha pale pale Bustani ya Eden maana ndio kusudio la Mungu binadam akae Bustani ya Eden
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Pia mimi nimekoma siingii na sintokaa niingie kwe haya makanisa eti mtume na nabii my foot Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Askari wa Jeshi la Polisi akatwa uume na mkewe mkoani Shinyanga

    Yeah sure Sina la kuongeza apa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za nyoka: Wa kawaida, wa kichawi na wa kimizimu

    Mi mwenyew sijaelew apa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Bob Chacha Wangwe kukata rufaa Mahakama ya Afrika kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi

    Wapinzani wamebanwa kote mbaya zaid ni wapinzani wote walio ndan ya ccm na nje ya ccm na wanaonenda against go
  6. C

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Aisee dah
  7. C

    JamiiForums Tanzania Bob Chacha Wangwe kukata rufaa Mahakama ya Afrika kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi

    Another Tz hero Wangwe... Keep going we count your steps
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Akikuthibitishia ni tag please
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Bro naona umeleta malalamiko stick to the point wala sikulazimishi no thibitisha tuu Mungu hayupo kwa sababu A. B. C. D................ Karibu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Leta uthibitisho mbna Unapuyanga sana
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Mh kwa jinsi ulivondaa akili yako kupinga we inaonekana hata upate uthibitisho utapinga
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Why
Back
Top Bottom