Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
Ubarikiwe.Ngonjera ya kipumbavu tu hii ulioimba,"swine zako"
Ila kumbuka, hata shetani ana wafuasi wake na wanamtetea hata kwa gharama ya mauti.
Ubarikiwe.Ngonjera ya kipumbavu tu hii ulioimba,"swine zako"
Acha matusi please! Kama ni hivyo, basi na Baba yako anabweka maana binadamu hubwekaNani yupi nyuma ya huyu jamaa? Maana ukiona mbwa anabweka sana ujue yupo karibu na kwao.
Wote tuungane na akishinda hiyo rufaa napendekeza tuwashawishi wanasheria wafungue kesi dhidi ya sheria zilizotungwa, zinazotekelezwa zinazopingana na katiba ya nchi yetu.Niko tayari kuchangia pesa Taslimu ili kurahisisha mchakato huo
Mweeeee!!!! Afrika ya Kusini ambako bado tuna makovu ya kuona Waafrika wenzetu wakiuliwa, wakiteswa na kudhalilisha na Waafrika wenzao. Na Mahakama zao zikanyamaza kimya ndio leo wanaweza leo kusema neno kwa Tanzania???
Acheni kudhalilisha nchi!! Kweli kabisaaaa!!! Watanzania tunakwama wapi wajameni!!!!
Queen Esther
Jisitiri..haujioni ulivyo mtupu??!Mweeeee!!!! Afrika ya Kusini ambako bado tuna makovu ya kuona Waafrika wenzetu wakiuliwa, wakiteswa na kudhalilisha na Waafrika wenzao. Na Mahakama zao zikanyamaza kimya ndio leo wanaweza leo kusema neno kwa Tanzania???
Acheni kudhalilisha nchi!! Kweli kabisaaaa!!! Watanzania tunakwama wapi wajameni!!!!
Queen Esther
Wewe hutafunwagi?Nani yupi nyuma ya huyu jamaa? Maana ukiona mbwa anabweka sana ujue yupo karibu na kwao.
Wewe hutafunwagi?Nani yupi nyuma ya huyu jamaa? Maana ukiona mbwa anabweka sana ujue yupo karibu na kwao.
Wewe hutafunwagi?
Uamuzi huo ni sawasawa na kwenye mechi ya mpira wa watani wa jadi, ielezwe kuwa refa atakuwa Ismail Aden Rage.....Baada ya Mahakama ya Rufaa kutengua hukumu iliyowazuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi, Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe ameeleza nia yake ya kukatia rufaa maamuzi hayo katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu ili kuhakikisha Demokrasia inapatikana.
Akizungumza jana Oktoba 17, 2019, Bob Chacha Wangwe amesema kuwa hadi sasa wameshaanza kuandaa utaratibu wa kukata rufaa nje ya Tanzania kwa kile anachokiamini kuwa kama haki imeshindwa kupatikana nyumbani, basi ataipata nje ya Tanzania.
''Ushindi huo wa upande wa Serikali tumeupokea kwa masikitiko makubwa kwasababu tunategemea demokrasia iendelee, tunapoona inarudi nyuma ni jambo ambalo linasikitisha. Sisi tutakata rufaa kwenda mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kwa sababu kwa Tanzania mahakama ya rufaa ndiyo mahakama ya juu zaidi", amesema Wangwe.
"Kwahiyo inapotokea imetoa uamuzi sisi hatuwezi tukarudi nyumbani, tunapoona hatujatendewa haki inabidi tukaitafute hiyo haki ambayo tumeikosa'', ameongeza.
Juzi Oktoba 16, 2019, Mahakama ya Rufani Tanzania ilitengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia Uchaguzi Mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Good idea, je EACJ ina jurisdiction ya kuamua cases kama hizo? Waliangalie sana hili!Baada ya Mahakama ya Rufaa kutengua hukumu iliyowazuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi, Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe ameeleza nia yake ya kukatia rufaa maamuzi hayo katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu ili kuhakikisha Demokrasia inapatikana.
Akizungumza jana Oktoba 17, 2019, Bob Chacha Wangwe amesema kuwa hadi sasa wameshaanza kuandaa utaratibu wa kukata rufaa nje ya Tanzania kwa kile anachokiamini kuwa kama haki imeshindwa kupatikana nyumbani, basi ataipata nje ya Tanzania.
''Ushindi huo wa upande wa Serikali tumeupokea kwa masikitiko makubwa kwasababu tunategemea demokrasia iendelee, tunapoona inarudi nyuma ni jambo ambalo linasikitisha. Sisi tutakata rufaa kwenda mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kwa sababu kwa Tanzania mahakama ya rufaa ndiyo mahakama ya juu zaidi", amesema Wangwe.
"Kwahiyo inapotokea imetoa uamuzi sisi hatuwezi tukarudi nyumbani, tunapoona hatujatendewa haki inabidi tukaitafute hiyo haki ambayo tumeikosa'', ameongeza.
Juzi Oktoba 16, 2019, Mahakama ya Rufani Tanzania ilitengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia Uchaguzi Mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Kwa Bunge lipiAnapoteza muda tu
Atumie nguvu za hoja kushinikiza muswada wa sheria ya kuzuia wakurugenzi
Nguvu ya umma? Mbowe anawajua vzuri nyie ndio maana hata UKUTA alihairishaNi kweli, hiyo Chacha Wangwe amefanya jambo zuri na ni haki yake, ila ukweli ni kuwa madictator huwa hawaogopi maamuzi ya mahakama bali huogopa nguvu ya umma tu. Yeye atumia njia ya mahakama sisi wengine tutatumia njia ya nguvu ya umma.