Bob Chacha Wangwe kukata rufaa Mahakama ya Afrika kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi

Mahakama ya rufaa ndio ngazi ya mwisho nchini hata hivyo sio mwisho wa haki.
Licha ya kwamba Bob Wangwe ni mtafuta haki katika jamii lkn ikumbukwe kuwa yeye pia ni mwanasheria, mwisho wa shauri hili kwa vyovyote vile utakavyokuwa utaandika historia isiyofutika katika maisha yake itakayosomwa vizazi na vizazi to kama ya mgombea wa mbulu enzi za Mwl Nyerere.
 
Back
Top Bottom