Recent content by Chaz Joe

  1. Chaz Joe

    Nahitaji kufahamu gharama za ushuru wa TOYOTA NOAH bandarini zikoje?

    Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu. Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
  2. Chaz Joe

    Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Sina uhakika, wala sio kama nina shida saana na hizo pesa, ila nilitaka apate fundisho tu , mana ana dharau na kiburi sana huyu mwanamke
  3. Chaz Joe

    Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Sina risiti, lakini miamala niliyokuwa nikimtumia kwenye namba yake nina uhakika nikienda kwenye ofisi za mtandao ninaotumia nitapata statement ya miamala yote niliyokuwa nikiituma kwenda kwenye namba yake. Uzuri namba yake hajawahi kubadilisha, na mimi pia sijawahi kubadilisha
  4. Chaz Joe

    Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Nimeacha baada ya yeye kunitamkia hayo maneno.. sasa nikipiga hesabu gharama zangu zote nilizotoa kipindi chote hicho kiukweli inaniuma sana
  5. Chaz Joe

    Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Amekomaa kabisa anasema " mtoto sio wako ,kama unabisha kapime DNA"... yaan kiufupi alikuwa anafanya kusudi kuniingizia gharama huku akijua mtoto sio wangu. Pia japo mtoto hajafanana na mimi kwa sura, ilikuwa ngumu mimi kumtilia shaka, mana mtoto kafanana na mama yake copy kabisa,, so nikaona...
  6. Chaz Joe

    Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Mkuu hii kitu inatia hasira sana, usipojizuia unaweza jikuta hata umeua mtu. Imagine nimehudumia kwa kipindi chote hicho, alaf sasahivi anakuja kuniambia kuwa mtoto sio wangu, tena ananijibu kwa nyodo kabisa😡😡
  7. Chaz Joe

    Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika kipindi chote cha ujauzito hadi alipojifungua. Japo sikuwa naishi nae lakini nilimpatia mahitaji...
  8. Chaz Joe

    I need an educational sponsorship

    I have completed my advanced secondary education with the following scores Physics- C Biology- C Chemistry- C Basic applied mathematics -B General studies -D,,i need a sponsorship to study a diploma in clinical officing
  9. Chaz Joe

    Nahitaji udhamini wa masomo

    Nimemaliza kidato cha 6, nahitaji udhamini wa kimasomo. Nahitaji kusoma diploma in clinical officing.. Ufaulu wangu ni Biology-C Chemistry-C Physics-C Basic applied mathematics-B General studies-D
Back
Top Bottom