Recent content by chaz beezz

  1. chaz beezz

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    oyaaaa stor ya kenyaa wapi
  2. chaz beezz

    Hili jambo linanigharimu sana

    inabidi tukae meza moja tuzungumze hata me nimewanyadua saaan so tubebane katika hili
  3. chaz beezz

    Hili jambo linanigharimu sana

    Kwani yo K umeigawa Sana hadi unajuta Maua
  4. chaz beezz

    Niandae mtaji kiasi gani ili kuanzisha duka kama hili?

    kwa wajuzi wa mambo ya hizi kazi hapo si chini ya million 10 ikipelea saana 8
  5. chaz beezz

    Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Yego masatu owaikaki goyuuuu..eswe chitana ejooo gooo chisige goooo
  6. chaz beezz

    Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

    njoo nkuoe wewe tuongozane kwenye hiyo sayari
  7. chaz beezz

    Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

    Tusipangiane Maisha [emoji35][emoji35]
  8. chaz beezz

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kanifuma na katoto katanga kanifuma kanatoka na kanga getto [emoji445]
  9. chaz beezz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mzigo huo kibanda umiza[emoji109][emoji736]
  10. chaz beezz

    Nasumbuliwa na tatizo la genital warts

    Nimeanza kupata dalili za genital warts sehemu za siri kwenye shina la uume kuota vinyama (visundo sundo vidogo), nimejaribu dawa lakina bado sijapata matokeo mazuri. Je, ni dawa gani inaweza nisaidia nikapona tatizo la genital warts, kwa wake ambao mshapatwa na tatzo hili mlitumia dawa gani...
  11. chaz beezz

    Fiesta ya Clouds iwapi 2023?

    Imekua biashara ngum coz matamasha ya bure yamekua mengi hasa haya ya kiserikali kumuona msanii wako mkoani kila Mara utamuona jukwaa la chama ama shughuli ya kiserikali so linapokuja tamasha la kingilio 10k alafu juzi msanii uyo uyo umemuona bure inapunguza vibe ya kwenda kumuamgalia na hasa...
  12. chaz beezz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hela yunazoweka weka kwenye mikeka ni nyingi kuliko tunazokula[emoji24][emoji24]
  13. chaz beezz

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki 5 na bodaboda mpya?

    kwenye mzigo wako ongeza balbu mashine za kunyolea ndevu dawa za meno Kama colget whitedent oyaa mzeee utajiongeza na vingne kulingana na uhitaji wa solo lako
  14. chaz beezz

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki 5 na bodaboda mpya?

    nenda kwenye maduka ya jumla hapo mjini chukua vitu Kama makufuli dozen kadhaa unaweza chukua kwa dozen elf 14000 we utaenda uza kwa dozen elf 16 had 17 chukua Big g za jumla ongeza na pipi kila aina mikasi nyembe super black Sox za shule na za kawaida miswaki. yaan unadili na vitu Kama...
Back
Top Bottom