Degree haijachuja kwa upande wangu ila mazingira yamebadilika..
kwa upande wa idadi ya watu wanaosoma elimu ya juu wamekuwa ni wengi mfano leo hii zaidi ya wanafunzi elfu 40 wamejiunga na masomo kwa mwaka 2017/2018.. ukilinganisha na miaka ya nyuma walikua wanafunzi elfu mbili au tatu unakuta...
Kumekuwa na tatizo kubwa la ajira nchini tanzania lakini je? Tatizo ni mfumo wetu wa elimu au sisi vijana kukosa ubunifu na uthubutu katika kujiajiri?
Asilimia 75 ya watanzania nI vijana na katika nchi yetu tumejaaliwa kuwa na ardhi yenye rutuba ya kutosha. Wafanyabiashara wengi Mf. Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.