Recent content by Chavah

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, ni mtaalam wa Nails, makeup and Hair

    Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata mtaji.kwa sasa nimeona itafute kazi ili niweze kukusanya pesa. Napenda kuchukua Fursa hii kuomba...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

    Hivi nikitaka kuomba kazi crown tv/radio naonana na nani?mwenye uelewa anisaidie, nahitaji kujaribu bahati yangu, mm ni mtangazaji na Nilishawahu kufanya kazi kwenye media kubwa TU hapa Tanzania,. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali. Au mwenye contact za Salim kikeke anisaidie nimtumie demo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto hii, imekuwa ikijirudia mara kadhaa

    Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto. Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto. Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili Asanteni.
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili?

    Wewe ungekuwa unaziangalia tu hila ya yeye kujua Kama umesiangalia, unajua mtu kama ana lengo la kukuwejea status then usipoisoma anapata maumivu sana
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili?

    Huyo x wako kiboko🤣🤣 mpaka amekuuliza kwa Nini huangalii
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili?

    Mbaya zaidi alowekewa vijembe kwenye status anatumia GB Whatsapp 🤣 so hawezi jua kama kaona au la
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Inategemea na nn?
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Yaan weewe 😃😃
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Noted mkuu
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Okay
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Kwa hiyo ndani ya huo mwezi mmoja unaweza ukafanya utaratibu wa kutaka Mpeleka kwenu, na uanze process,?
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki msamaha wangu

    🤣🤣
Back
Top Bottom