😃😃😃😃Kwanza utaweza sema tupo vicoba tumekuja kufanya marejesho hatari sana
😃😃😃😃Kwanza utaweza sema tupo vicoba tumekuja kufanya marejesho hatari sana
Koneksheni mbona ziko kibao tu twitani haziwezi Isha.Baadaye muwashangae watoto wenu kukosa koneksheni.!
Vipi hata passo?Ata Kavits pale nje hakuna jamani leo nimeumia wakati ukienda kwenye vikao uko vingine wanakosa pakupaki
Jumamosi na Kikao kikaisha mapema kabla ya saa sita.Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu
.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje
Pikipiki baiskeli na waenda miguu>wote ni Gari?mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu
Hilo juu ndio ulitaka leta-mawazo yako- sio uliloliona!hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Roho ya ufukara ipo kaziniLeo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Huu ni ukweli mkuu, Mimi nipo mtaani karibu mwezi Sasa ninachokishuhudia ni majonzi matupu.Watu wengi vipato ni vya kawaida na umaskin wa hali ya juu
Shule gani hiyo umeenda babu?Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Umepaniki eeh mjukuu wangu pole sanaJumamosi na Kikao kikaisha mapema kabla ya saa sita.
Pikipiki baiskeli na waenda miguu>wote ni Gari?
Hilo juu ndio ulitaka leta-mawazo yako- sio uliloliona!
Kama kweli wewe ni Babu namwonea huruma mjuu wako!
Kama kweli wewe ulifika pale na hukuona "baiskeli,gari na waenda miguu" hata baiskeli yako- ulipofuka ghafla!
Kama hayo juu sio kweli, utuambie ulifikaje bila kuona.
Huo umasikini unaotaka kutuaminisha-ningekusii uuze simu yako, uache kulipia intaneti, na baiskeli yako ambayo wewe mwenyewe haukuiona kwenye pakingi uuze. Ununue gari.
Zaidi, ni porojo,kejeli zenye uhasama . Ni dhihaki
Pole Babu.
Ye aseme tu hana uwezo aachane na maneno ya kujifarijiNi muhimu sana kuwa na gari hata kama huliendeshi kila siku.
Gari lina umuhimu sana,hasa unapotaka kutoka usiku mfano kama ukiuguliwa au kutoka wakati wa mvua.
Hata uwe na pesa nyingi kiasi gani kama hauna gari wewe ni masikini tu,
Wengi wa Hawa wenye magari, Ni njaa Kali sana.Tatizo si kumiliki gari; bali gharama za kulifanya liwe barabarani ndio changamoto
babuuu..sijui kwanini nimecheka sana
Yaani ulienda shule ya watoto na ukategemea magari yana soma hapo?Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu.
Hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti hata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakupa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Uliambiwa Magufuli ana kisima cha mafuta chaa kwake Chato?Tutakukumbuka Daima hayati John Joseph Pombe Magufuli, ungekuwepo baba leo tusingeuziwa mafuta lita 1 sh 7500. Mkojani anaupiga mwingi ulimwenguni sie tunavunja chawa tu mitaani baba.