Sio kila 1 anaweza kwenda kusoma advance mkumbuke kuna watu wao ndio baba wao ndio mama, sio kila 1 anawez kwenda feza boys...ufahulu wa D4 me naona kabisa wanapromote wtt kufeli.ningewapenda nacte wangeliweka C4 au C3.tungeona watoto kama wanafeli huko mashuleni
Ha ha ha ukweli gan wastani wa ufahulu wa B 3 ukawa mkubwa kushinda wastani wa D4....hizi ni bange za hali ya juu...kwann anakuwa na sifa za kwenda A level
Unajua watu wanacho lalamika ni hivi nacte wanataka ufahulu wa D4 sawa wapo sahihi,lakini mtu mwenye ufahulu wa C3,ana point kubwa kushinda wa D4, harafu huo ufahulu wa D4 una promote ku feli kwa watoto wa kidato cha nne maana siku hizi wanasomea D4.
Hivi ni kwa nini mwanafunzi mwenye ufahulu wa pass 4 yaani DDDD,ana option ya kwenda chuo,lakin mwenye ufahulu wa Credit 3 yaani CCC ambazo zimebalance comb ana kibali cha kwenda advance ila kwenda chuo hana kibali? Hii imekaaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.