Recent content by Chasingo de Lover

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

    Anaandikiwa na upinzani mambo yote haya kisha yeye huchapa tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.

    Inabidi uandike proposal ili ukafanywe utafiti why Lisu hakutajwa na mojawapo ya respondents uweke hao unaosema hawakumtaja. Utapata majibu sahihi. Otherwise wewe na Mimi hatutakuwa na majibu sahihi bali tutakuwa na majibu yanayotokana na hisia zetu tu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji Liwale Lindi Ashinda Kura Za Maoni CCM Singida Kaskazini

    Hizi huwa zinaitwa taarifa tata. Si za kufanyia kazi. Kama wapiga kura walikuwa 112, ilitakiwa tuone mchanganuo wa kura hizo zote. Mfano: Jumla ya kura, kura zilizohsribika, mgawanyo wa kura zilizobaki kwa kila mgombea na kwahiyo mshindi wa kura za maoni ni yupi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Vijana tunalaani Mwenyekiti UVCCM Taifa atakayepatikana kwa njia za rushwa

    Majungu tu. Kama una uliyajua haya yote kwanini hukutoa taarifa Takukuru wamnase.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kila tone la damu yangu litajenga muungano usiofutika

    Ngoma ikivuma sana hupasuka. Mungu atamponya angalau roho yake ibaki japo atakuwa na maumivu na ulemavu wa kudumu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Issue ya Lissu yaifikia Shirika la Kijasusi la kimataifa CIA

    C I.A hawashughulikii issue ndogo sana kama hizi and will never
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumuua Lissu: Wanasheria USA wataka uchunguzi huru

    That is not American slang
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ulipaji Mkopo Loan Board

    Kama ulichukua mkopo wa kusomea ni heri uanze kulipa kidogo kidogo hata 100,000 kwa mwezi. Kuna kitu kinaitwa charges for value retention fee na penalty ni balaa. Mfano Mdogo wangu alichukua mkopo wa around 8m na alihitimu 2015 lkn extra charges mpaka muda huu ni around 2.66m hivyo kupelekea...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba akutana na waandishi wa habari kukanusha kuhusu kuitishwa kwa baraza kuu Zanzibar

    Mtumbuaji namba 2 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kapteni Hilda, Rubani mwanamke wa kwanza Tanzania kurusha Boeing

    Kurusha ndege hakuhitaji msomi kwa sababu kwa sasa kuna ndege zinazojiongoza au kujiendesha zenyewe. Kuna kijana alisoma diploma ya procurement tena form four alipata division four ya 24 lkn kwa sasa ni rubani mzuri tu huko Botswana. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    Ajira pia zitaota mbao Sent using Jamii Forums mobile app
  12. C

    JamiiForums Tanzania UDOM wameanza kupokea application za cheti na diploma 2016/2017

    Vyuo vikuu ( universities) baadae zitazuiliwa kutoa cheti na diploma. Hizi kozi zitabaki vyuo vya kati kama Ifakara, CBE. IFM n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Udsm Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom