Ulipaji Mkopo Loan Board

Ulipaji Mkopo Loan Board

Joined
Feb 9, 2017
Posts
23
Reaction score
12
Kama ulichukua mkopo wa kusomea ni heri uanze kulipa kidogo kidogo hata 100,000 kwa mwezi. Kuna kitu kinaitwa charges for value retention fee na penalty ni balaa. Mfano Mdogo wangu alichukua mkopo wa around 8m na alihitimu 2015 lkn extra charges mpaka muda huu ni around 2.66m hivyo kupelekea jumla ya deni kuwa around 10.66m. Hapo ujue hata kazi hajapata. Ukianza kurudisha mkopo ndani ya mwaka mmoja toka ulipohitimu hizo extra charges nilizotaja zinakuwa zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom