Recent content by charrity

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    kila la heri
  2. C

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

    Hahahahhaaa haahaahahahaaaaaaaaaaaa kazi ipo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hedhi ya mabonge

    hakuna tatizo lolote hapo ni sindano hiyo ya uzazi wa mpango ukikaa kwa muda wa miezi minne mambo yatakuwa kawaida.pia unapotaka kutumia uzazi wa mpango jaribu kumuuliza doctor athari zake na faida zake ili uchague njia iliyo sahihi kwa afya yako
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

    Asome kwanza kuoa baadae,mapenzi yapo tu na huwaga hayazeeki hivyo atatakuta baadaye
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi kanichunia

    kashagundua kosa lake hivyo hakutaki tena ndiyo maana kaamua kuuchuna
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Kapimeni VVU kwanza kama mpo salama,pia msubiri ndoa na km anakupenda kweli atakubali
  7. C

    JamiiForums Tanzania Muigizaji maarufu toka Nollywood (Nigeria) Muna Obiekwe amefariki dunia

    R.I.P Muna Obiekwe
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

    MMMhhh kazi ipo... wema acha kujifariji hakuna cha project hapooo
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majanga haya sasa mengine

    Hahahahhaaaaa....papuch tamu ada hutaki kiulipa...duh
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mwanamke akujibu message zako

    Kweli patrickky,mbele ya hela tena
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je mwanamke anachoka kufanya mapenzi?

    Huenda ikawa kakuchoka
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story; wiki mbili wasichana wanne wanajipendekeza na kuondoka

    Hahhahaahaaaaa haya tupe part 2 tupate picha kamili
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna couples wamekutana hapa Jamiiforums na kufunga ndoa?

    unaweza kupata ila kuwa makini sanaaa
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, kuweni siriasi

    Pole kaka,bado anakuchunguza huyo km kweli unampenda
Back
Top Bottom