Je mwanamke anachoka kufanya mapenzi?

Je mwanamke anachoka kufanya mapenzi?

Muulize kwanini huwa anachoka utapata majibu sahihi zaidi kwake
 
kwanini asichoke kwani yeye ni mashine ?
Mashine nayo huwa inapumzishwa sembuse yeye
Inategemea na mautundu yako pia we upo hivyo hivyo tuu huna jipya lolote labda unambore pia .... ni mawazo yangu tuu ila jibu kamili analo mhusika mwenyewe
 
Hivi inakuaje una mpenzi wako mnakaa mikoa tofauti, kukutana kwenu ni miezi miwili kwa mwaka. 6/12 na inatokea umefika kwake mmegegedana kama Siku mbili hivi then siku zinazofuata anakwambia yeye kachoka.

Hapa inakuwaje wadau.

Itakuwa unasaidiwa na wenzako
 
Kwani mtoa mada unaelewa vp neno kuchoka???? Naomba jibu nikupe ushauri wa kukujenga.
 
Interesting. Maswali mengine bila research ni magum kuyajibu! Ila kwa hali ya kibinadamu kuchoka kupo hata kama mnakutana mara moja kwa mwaka. Inategemea timing na mengineyo. Ni mtazamo tu!!!
 
mungilie ungo lake la chooni alafu bas atashika adabu...hachoki tena
 
​kwani ye machine hadi ipige mzigo 24hrs???

Hata mashine inapumzishwa kwa ukaguzi. Jiangalie atakuchukia jumla??? Unakuwa kama sio binadamu bwana! Ndo kusema ww huchoki!!! MBAYA KABISA IYO.
 
Hahahahahah eti inalia kama pasi

Teh teh teh tehee te...humu ndani kuna watu weny maneno"inalia kama pasi yamoto chwaaa!" umenichekesha sana...alafu umenifurahisha mno. ASANTE SANA MKUU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom