Mpenzi kanichunia

Mpenzi kanichunia

Mambo mengine aibu kusema mbele za watu

Aibu naona mimi
Cc: MO11
 
Last edited by a moderator:
Naona watu mnavyojipindaa kutoa ushauri kumbe jamaa anawavua kama samaki wabichi toka ocean hahahahahaha rudieni kusoma mara mbili mbili mtamwelewa jamaa ni mtu wa aina gani
 
avatar91831_2.gif
 
duuh.. kwa kweli naskitika kuona watu mnaongelea abortion kama kamchezo cha kufuga nywele na kukata zikiota... wewe si mwanaume mwenye akili timamu.. i think you are under 15 yrs old. "eti inayofata nitatoa hela mimi" shame upon you dick, dickheaded wewe. na ndiyo anakuacha hivyo akirudi mwambie yeye ni mjinga + wewe pia!

Emu piga gharama ya abortion na gharama ya kulea mtoto..alafu ndo utaelewa umuhimu wa abortion
 
Naona watu mnavyojipindaa kutoa ushauri kumbe jamaa anawavua kama samaki wabichi toka ocean hahahahahaha rudieni kusoma mara mbili mbili mtamwelewa jamaa ni mtu wa aina gani

Hehehehe
 
Kosa lako ni kusema next abortion utailipia.kama ni kweli aliabort.itakua imemuuma sana afu na wewe wala haujali,afu eti mpenzi wako.ni kwamba haumthamini. You dont care afya yake,ni sawa kwako umpe mimba na kuitoa kama mchezo wa kuigiza.you were not serious and still not serious ubuntuX.na awe amekukimbia kabisa.

Hawezi kunikimbia coz anajua akinikimbia ntavujisha nudes zake
 
Last edited by a moderator:
Dah JF INA matahira kuliko mtandao wowote ule duniani.

Yaani mmetoa mimba na bado MNA mpango huo tena

Then unakuja kujisifia humu!!

TAHIRA MKUBWA UTAKUWA WEWE,lasivyo futa kauli! mi nawaheshmu member wote wa JF na kuwaona great thinkers.
 
fundishaneni! matusi sio mpango! hasa kuifananisha JF na mitandao mingne kama F.B!
 
Hivi ni nani tena alisemaga hapa ndani JF imevamiwa???

This is the highest level of immaturity I've come across since I joined JF back in 2010.

Common sense is never common!!

Don Mangi
 
umekosea sana kumwambia abortion nyingne et utahuska,unaonesha kuw humpend,kwa hiyo ni mchezo sasa
 
Kweli jamii forum is the place where we dare to talk openly.
 
Hivi ni nani tena alisemaga hapa ndani JF imevamiwa???

This is the highest level of immaturity I've come across since I joined JF back in 2010.

Common sense is never common!!

Don Mangi

Some post true stories,some just a humour
 
Back
Top Bottom