Recent content by charndams

 1. C

  Tanzania ina wazalendo wanne tu wa kupigiwa mfano, ambao ni Nyerere, Kawawa, Sokoine na Magufuli!

  yaani natamani nikutukane lakini basi tu nimekumbuka hiki ni kipindi cha utakaso
 2. C

  Mtatiro: Nawakumbusha vijana hasa wa CCM kuwa vyeo siyo maisha

  kwenye maswala ya uchaguzi, NEC ndio arbiter wa vyama vyote vya siasa. ipo kwa ajili ya vyama vya siasa na wanasiasa kwa maswala ya uchaguzi. niseme tu kwamba election is not an event, its a process that is defined in our constitution. an election process involves players and in this case...
 3. C

  Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

  we kichaa kweli..watu wanaomba ushauri wa kufaulu maisha, we unaomba ulevi..nonsense
 4. C

  Kuhusu wachunguzi wa kimataifa: Majibu ya Waziri Mkuu ni final and conclusive. Hawataruhusiwa!

  don't crucify Peter E Mselewa for your own ignorance. kama hujaelewa mada mwambie atarudia kwa lugha nyepesi ambao ni level yako. kama kweli nawe unajiita GT basi lazima ni mvivu wa kusoma na kutafakari. usikurupuke kujibu hoja ambayo hujaelewa, kua mstarabu ili kujijengea heshima!
 5. C

  Uhusiano wa Tanzania na Kenya mashakani baada ya Kenya kutaka kupiga mnada ng'ombe zaidi ya 4,000 kutoka Tanzania

  hahaha! Tanzania tuna kazi kwel kwel, bila shaka wewe lazima ni mmoja wao ambao mkulu alisema sio lazima uwe na elimu upate ajira hoteli za kitalii!
 6. C

  Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

  usikurupe mkuu, isikilize hiyo clip vizuri, alichokisema ni kwamba wata revisit hiyo judgement baada ya huu uchaguzi, kurevisit ina maana kuangalia dosari za kisheria zilizotokea katika hayo maamuzi ili kurekebisha pia kisheria. pili hakuwatishia majaji, alichokisema ni kwamba kama asingekua...
 7. C

  Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

  wewe kichwa Maji kweli, tofautisha kati ya July Bali uamuzi Wa mahakama na kuheshimu uamuzi Wa mahakama. alichokifanya Kenyatta ni kuheshimu uamuzi wa mahakama sio kukubali maamuzi yake. pili taasisi yoyote ya uma ipo wazi kushutumiwa na kupongezwa vilevile, hiyo ndo nature ya demokrasia. mahaka...
 8. C

  Barick wameufyata; Hakuna press ya gawio la hisa, report ya fedha, soko la mitaji au maongezi na Tanzania

  sawa tushajua upo london, tulia hukohuko utaletewa taarifa
 9. C

  Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

  over my dead body too!
 10. C

  Uko wapi uzalendo wa Tundu Lissu kwa Nchi yake?

  your name betrays you!
Top Bottom