Recent content by Charlz junior

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mgeni

    Karibu mpendwa ,jisikie uko nyumbani
  2. C

    JamiiForums Tanzania Selection ya vyuo 2014 inatoka lini?

    uko dunia ya ngapi?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka TCU

    Kwani kuapply mwisho lini wakuu?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu wa haraka

    Pole sana kwa tatizo lako but kuwa makini sana katika mchakato wa kutatua tatizo lako.tambua kuwa kuna utapeli so usijisahau. I belive tatizo lako ni la kawaida sana nikimaanisha linasovika.Kuwa na iman MUNGU NI MWEMA ukimshirikisha katika maamuzi naamini atatenda jambo juu uzazi wako.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

    Udsm ni zamani wazee ukweli utabakia,usidanganyike na jina eti vyuo vingine ni vya kata! Nyie malizeni chuo mje tuwafanyie registration vijiweni .komaeni udsm ni kama vyuo vingine tu
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa tabia hii wanasikitisha sana

    hiyo mila potofu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Wadau education in arts subjects naeza chaguliwa kwa haka kaufaulu kangu? E,D,S
Back
Top Bottom