Recent content by charlitochris

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa IMTU tujuane tafadhali

    wale wa IMTU tuchangamke basi!!!!!!..
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada heslb

    jamani wakuu eti mkopo kwa mtu wa medicine 100% ni tsh ngapi!?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhama chuo ulichochaguliwa kama hukipendi

    woga wangu ni mkopo kwa kwel sijui itakuwaje na nataka kuhama
  4. C

    JamiiForums Tanzania kwa anaepajua vizur archbishop james..

    jamani kama alivyosema mwenzangu hapo juu kama unafahamu kasoro iseme basi ukizunguka unakuwa hautusaidii kwasababu lengo la kuanzisha thread ni tusaidiane kwa unachokifahamu
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    aisee kuna watu hata chembe ya aibu hawana!!.leo umesahau kiapo doh mbaya sana hlf bila aibu eti shetani alitupitia haya bhana
  6. C

    JamiiForums Tanzania kwa anaepajua vizur archbishop james..

    ooh asante na vp elimu inayokuwa offered pale ni ya uhakika!!?
  7. C

    JamiiForums Tanzania kwa anaepajua vizur archbishop james..

    jmn naomba nijuzwe kuhusu chuo cha archbishop james kama kiko poa..si mnajua tena kile chuo ni kipya...msaada please
  8. C

    JamiiForums Tanzania CAS is now open for 2nd round applications only

    kwa tz mpaka tuje tufike cjui lini kwa kwel tunauhitaji kwenye ishu za afya lkn.....kaz sana
  9. C

    JamiiForums Tanzania CAS is now open for 2nd round applications only

    hv wakuu inaonekana hv vyuo kairuki na IMTU havina wadau ee!!?? mpaka na second round vpo duh!!?
  10. C

    JamiiForums Tanzania CAS is now open for 2nd round applications only

    oooh sawa wakuu shukrani
  11. C

    JamiiForums Tanzania CAS is now open for 2nd round applications only

    jmn mbona IMTU haipo instead naona kairuki??? naongelea second round
  12. C

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    wakuu heshima kwenu naomba nisaidiwe nimekwama kidogo nimekuta choices zangu ziko vilievile pamoja na capacity zake na sijaona sehemu ya kuconfirm msaada tafadhali
  13. C

    JamiiForums Tanzania Second Round Application TCU

    asante mkuu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Second Round Application TCU

    jaman wadau KIU,IMTU na St Joseph vinafa!? naogopa kuingia kwenye matatizo msaada tafadhali
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    kinachoonekana hapo ni mambo mawili either ni siasa au kukosekana taarifa sahihi za jambo hili kwasababu barua ya trh 28/05/2015 inaelekeza kwamba KIU iendelee kutoa kozi zote zinazolalamikiwa ILA mwanafunzi atakapohitimu INATAKIWA aripoti TCU ambako atapewa utaratibu wa kwenda kwenye baraza la...
Back
Top Bottom