Recent content by charlie anaely

  1. charlie anaely

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Ni wapuuuzi hawana lolotee ubabaishaji tu
  2. charlie anaely

    Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Shukrani xana kaka....mim nmejarbu kuroot tecno c8(upgraded kutoka adroid 5.0.2 mpka 6) Shida ni kwmba imkataaa kabisa kuroot na cjui tatizo ni nin...msaada wako tafadhalii au kama adroid 6 baado haifai kuroot naomba unisaidie
  3. charlie anaely

    Msaada

    Shukran sana kaka ngoja nifanye hvyo
  4. charlie anaely

    Msaada

    Za jioni wadau Naombeni msaada kidogo kwa wataalamu,simu ya tecno c8 haileti notifications kwa muda sahihi mpaka ufungue app husika ndo utapta notification mfano instagram,sms,whatsap,jfm na kadhalika Bila kufungua app huwezi ona notification Kwa wataalamu naombeni msaada wenu
  5. charlie anaely

    Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

    Shukrni sana kaka,ila nlkuwa nauliza ni kwa poweramp tu au pia apps nyingne inpiga frsh??
  6. charlie anaely

    Msaada kwenye app hizi za whatsapp

    Nenda kwnye hii link GBWhatsApp+ برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 4.55 – GBMods install kama app ambayo cio ya play store.....nenda settings ya simu yako allow kuinstall apps from unknown source after hapoo fuata maelekezo ikikataa tena ni pm brother......
  7. charlie anaely

    Msaada kwenye app hizi za whatsapp

    Mie mbona ntumia h6 na niko na whatsapp gb vzurii tu.....em jarbu tena.....
  8. charlie anaely

    Msaada kwenye app hizi za whatsapp

    Uwezi tumia line mbili kwnye hyo hyo gbwhatsapp lazima uwe na whatsapp utkayodowload ktoka play store.....hapo kila whatsapp utweka no yake......
  9. charlie anaely

    Msaada kwenye app hizi za whatsapp

    Wala haihitaji course bro.....ni kitu cha kufuata maelkezo tu.....ukishadowload ukinstall ni rahsiii xana coz ni kingereza na settingz ni za whatsapp ya kawaida.....
  10. charlie anaely

    Msaada kwenye app hizi za whatsapp

    Hapana mkuu....hii ukiweka unakuwa na uwezo wa kutumia no mbili tofauti za simu......mfano ile ya playstore unweza weka no ya airtel alfu hii gbwhatsapp unaweza weka no ya tigo
Back
Top Bottom