charlie anaely
Member
- Aug 25, 2013
- 26
- 3
- Thread starter
- #21
Mie mbona ntumia h6 na niko na whatsapp gb vzurii tu.....em jarbu tena.....wakuu mbona mi simu ya tecno h6 nikitaka kuweka whatsapp plus au gb whatsapp zinagoma
Mie mbona ntumia h6 na niko na whatsapp gb vzurii tu.....em jarbu tena.....wakuu mbona mi simu ya tecno h6 nikitaka kuweka whatsapp plus au gb whatsapp zinagoma
Labda unipe process zake za kuninstall mkuuMie mbona ntumia h6 na niko na whatsapp gb vzurii tu.....em jarbu tena.....
Nenda kwnye hii link GBWhatsApp+ برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 4.55 – GBMods install kama app ambayo cio ya play store.....nenda settings ya simu yako allow kuinstall apps from unknown source after hapoo fuata maelekezo ikikataa tena ni pm brother......Labda unipe process zake za kuninstall mkuu
Mie ninaitumia iko vizuri ila jinsi ya kufanya nitumie line mbili ndo mtihani
Mimi natumia whatsapp namba NNE kwa simu Moja ila siyo hiyo gbwhatsapp natumia whatsapp nyingne kabisa iko poa sana link hiiUwezi tumia line mbili kwnye hyo hyo gbwhatsapp lazima uwe na whatsapp utkayodowload ktoka play store.....hapo kila whatsapp utweka no yake......
Kwnn hyo app isipatikane play store? Na Je nan mmiliki wa hyo app? Na He kam ya mmiliki Ni whatsApp kwann hyo update isipatikane play store kwa app ya whatsApp ynyw?Uwezi tumia line mbili kwnye hyo hyo gbwhatsapp lazima uwe na whatsapp utkayodowload ktoka play store.....hapo kila whatsapp utweka no yake......
Ni ya msingi sana ili kuwa convince watu kukubaliana nawe mkuuLink iko wapi......Mimi natumia whatsapp namba NNE kwa simu Moja ila siyo hiyo gbwhatsapp natumia whatsapp nyingne kabisa iko poa sana link hii
Download parallel line. Utaweza kutumi 2;whatsapp play store. Ukiwa na whatsapp ya kawaida hupati shida no kuadi tu.Mie ninaitumia iko vizuri ila jinsi ya kufanya nitumie line mbili ndo mtihani