Recent content by Charles T

  1. Charles T

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Mungu azipumzishe roho za marehemu
  2. Charles T

    JamiiForums Tanzania Kipi kimesababisha kazi ya kudanga kuonekana rahisi kuifanya

    Kazi ya kudanga sio nzuri. Ila sasa ni kazi inayolipa.
  3. Charles T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Kwa kweli somo hili nimelipenda sana. Kumbe kama hatuzingatii maswala fulani fulani tunaweza tukawa masikini wa kutupwa
  4. Charles T

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Naona umepambanua vizuri [emoji773]
  5. Charles T

    JamiiForums Tanzania Naibu spika ashangazwa na wabunge wa upinzani kutoka nje

    Huyu naibu spika hana uzoefu wa shughuli za bunge. Ipo haja ya kuliangalia jambo hili kwa kina
  6. Charles T

    JamiiForums Tanzania Usanii wa nabii Malisa na miujiza feki

    Imani ukiipa kipaumbele kiasi hicho, unaweza kuwa mtumwa wa imani hiyo. Wakristo wanapaswa waamke, wauepuke uovu huu uliopo ndani ya kisingizio cha imani
  7. Charles T

    JamiiForums Tanzania Jen. Ulimwengu: Ni vyema Rais Magufuli asishiriki utawala wa mikusanyiko ya halaiki

    Hiyo ni sahihi kabisa.ndivyo ilivyo.
Back
Top Bottom