ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,242
- 8,323
Kwenye picha ni huyo mdada wa kwanza mwenye koti la blueHusna yupi mkuu?
Kwenye picha ni huyo mdada wa kwanza mwenye koti la blueHusna yupi mkuu?
Sad indeed!!!Steven Msengi alikuwa hata hajamfaidi Vizuri Mke wake. Dogo kashakuwa mjane gafla
View attachment 2077257
Hawawezi kuiachia Ukerewe kwenda Mara Kwa sababu ya mapato, uvuvi unaingiza mapato Mwanza, lazima utatokea mnyukano.Alikuwa anenda Ukerewe iliyoko ndani ya mkoa wake lakini ili afike huko analazimika kupitia mikoa miwili ya Simiyu na Mara kwa njia ya kivuko cha Kisorya badala ya kivuko cha Mwanza Nansio/Ukara...
Tamisemi sio wajinga, hawawezi kuruhusu watu wote wahame...ni roho mbaya tu...Sasa kila mtu akikimbia ofisi mnataka abakie pekeyake au
Kwa hiyo walistahili kilichowapata?Hao ni CCM
Sioni kama ni kosa wao kupanda hilo gari, hiyo haikua ziara ya kampeni bali kukagua ujenzi wa madarasa, hakukua na la kuficha hapo.Kwanza naomba niungane na Watanzania wenzangu kutoa salamu za rambi rambi hakika vifo vya wanahabari hawa na wananchi wengine ingawa sijashuhudia wananchi wa kawaida wakiagwa ni pigo kwa Taifa.
Nikili hakika nimeumia Sanaa maana waliokufa ni age mate wangu.
Sambamba na vifo hivyo ni muhimu tujiulize ukweli hawa wanahabari walikuwa wakifata msafara wa mkuu wa Mkoa nyuma analipokuwa akienda kukagua miladi mlikuwa tayari kwenda kuusema ukweli ambao ungeweza muuzi mkuu wa Mkoa mpaka akawashussha kwenye gari zilizokuwa mwenye msafara wake?
Au mmekufa mkiwa tayari mmezamilia kwenda kuulagai umma wa Watanzania dhidi ya miradi ya ajabu inayoendelea kulutafuna Taifa letu?
Swali Ili naomba lijibiwe na vyombo vyenye mamlaka baada ya kuchunguza miradi hiyo.
Niko hapa Mwanza na sioni kwa nini Mkuu wa mkoa aliamua kuzunguka njia ndefu kiasi hicho wakati kila siku kuna magari yanayovuka kwa njia ya meli na kuingia ukerewe. Wewe unaandika mambo ambayo hayana uhusiano wowote.Alikuwa anenda Ukerewe iliyoko ndani ya mkoa wake lakini ili afike huko analazimika kupitia mikoa miwili ya Simiyu na Mara kwa njia ya kivuko cha Kisorya badala ya kivuko cha Mwanza Nansio/Ukara...