Kwenye hati ya mashitaka kuna majina ya washitakiwa na anwani zao hivyo mwandishi anatakiwa aangalie mwisho wa charge Sheet inataja majina,umri,kabila,dini,kazi na eneo unalokaaa.
Naamini Mwasongwe na Swai walioshitakiwa kwa kosa la kushindwa kuzuia wizi ama kushindwa kuzuia kosa lisitendeleke...
Rosemarie umeandika utumbo mtupu,unataka kuwarejesha watu enzi za ujima,ni wachagga wangapi wameona nje ya uchagani kwa maana wameoa watu ambao si wa kabila lao?,iweje kwa menig iwe nongwa?
Hiyo Nyumba ya Jack inawahusu nini wale watoto wakubwa wa mengi au na wewe ni limbukeni hujui chochote...
Habari ya Yanga weka pembeni kabisa Mangi,zungumzia waliojenga kwenye mkondo wa maji,hivi huoni hilo jengo liko juu?,au macho yako hayaoni vizuri?,usijaribu kutuvuruga na Timu yetu,hiyo ni timu ya wananchi siyo timu ya Mo(mtu mmoja)
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru)mkoani Kilimanjaro,inawashikilia Maofisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) wakituhumiwa kushirikiana na matapeli wanaowaumiza wananchi kwa kuwauzia vitambulisho hivyo ambavyo kwa kawaida vinapaswa kutolewa bure.
Kwenye mtandao huo wa...
Huko tuendako si kuzuri,nahisi Giza Nene mbele ya safari maana tamko ama zuio la Jaji Matogolo kwamba waandishi waende mahakamani kama wasikiliizaji wengine na wasinukuu chochote ni kujaribu kuturejesha enzi ya ujima
Yajayo yanafurahisha,naamini wote tuko tayari,wale ambao walizoea kuficha pesa zao chafu kwa mgongo wa hayo maduka mwisho wa enzi ndo huo,wote sasa tunaisoma namba
Huko Dodoma Waziri wa fedha Dk.Philip Mpango leo amezungumza na waandishi wa habari na amesema moja ya sababu za ukaguzi kwenye maduka hayo ni pamoja na kubainika kuwa maduka hayo yanadhoofisha shilingi na mambo mengine ambayo yalianza kuathiri usalama wa nchi.
Hiyo ndo kauli ya serikali...
Hapo Moshi mambo ni moto,maduka ya kubadirisha fedha za kigeni yanafungwa muda huu,watu wanakimbizana huku na kule wasijue kinachoendelea.
Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.