Tatizo hapo walipa kodi hawana TIN namba na wakusanyaji wakodi wenye TIN namba ndowanaonekana kama walipa kodi na vitu hivi ndovinasababisha wengine watengeneze pesa zakutosha kwa dakika.
Mimi ambacho sikielewi kabisa na nimejaribu kuwasikiliza sana TANESCO nielewe nikashindwa nizile bei tofauti mfano watu wanaotumia umeme majumbani kuna aina mbili tofauti za bei lakini uduma inayotolewa ni ileile anayepanga haya makundi ni nani na kuna faida gani zaziada ninazopata kwa kuwekwa...
.Nami nilipata tatizo hilo nilipokua nanunua umeme 25/06/2016 mpaka sasa umeme huo sijapata wala pesa haijarejeshwa. walishawaikunitumia ujumbe tatizo langu linasshughilikiwa na nilipouliza baada ya siku nne toka nifanye malipo hayo nilijibiwa itachukua siku saba zilipopita siku zaidi ya hizo...
Hatuwaamini wataalamu wetu wa takwimu na mipango? wanatumia pesa nyingi sana kwa sensa na wanakusanya madodoso ya kutosha ingetosha kutumia utaalamu wao kwenye mipango yetu ya maendeleo iwe ulinzi, makazi, ajira n.k. visensa hivi vidogovidogo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na fedha.
Tatizo kubwa tulilonalo ni vision tunafahamu sasa madawati tunayo huku tunajitisha yataharibika na kutoweka na tunatafuta mchawi wa hili (blame vision) kinachoitajika tutambue matatizo yote yanayoweza kusababisha tatizo kujiludia na kushirikiana kuyatunza (the opportunity to improve vision)...
Tatizo wataalamu (wahandisi) kutatua tatozo hili. Matatizo yaadawati memgi yanaitaji tusifikili kisiasa kuyatatua baada va muda mfupi tatizo la madawati litarejea lazima interchangeable manufacture na standardisation vihusike ili isilazike kila walati kuchonga dawati wakati mwingine iwe...
UHIFADI BORA WA MAHINDI. HAKIKISHA YAMEKAUKA VIZURI NA HIFADHI KWENYE CHOMBO KISICHOPITISHA HEWA HUTAITAJI DAWA YA KUIFADHI NA WADUDU WAZALISHA SUMU HIZO HAWATAISHI KWENYE HIFADHI YAKO HIYO BORA YA NAFAKA NYUMBANI.
Tazama hivi. kuwe na viwango, zisindikwe vizuri kiasili, tuache kuziitaajina mabaya lkama mataputapu, tuziite majina yake matamu kama komoni, kangala mbege lubisi nk nadhani zisingeitaji afisa masoko hizi wala promo wanataka kusifia zao hao hawana lolote kweni hata hizo zao zinaadhara ndio maana...
nafaka zote kwe chanzo zinunuliwe na serikari kuwapungizia hasara na kidambazwe tena baada ya ujakiki wa usalama wake kwani ni vigumu na hakuna uhakika kwa mwananchi kutambua hivyo viwango vikubwa vya sumu tajwa. ikija sambaa ghalama itakua kubwa zaidi. tatizo lilianzia kijiji kimoja na sasa...
nazani wataalamu wetu wangetafiti njia zinazotumika na sisi watanzania kwenye maandalizi ya nafaka hizo kabla ya kuwa chakula mfano kuosha koloweka kuanika nk kunaweza kuondoa sumu hizo? na wao wakaemdelea kutafuta majawabu yao mengine ambayo naona yanachukua mida mrefu. binafsi nimeungana na...
kodi hii ukatwa kila mwezi na kila mwezi pato halilingani kwenye mwaka kwenye kutafuta kodi harisi marejesho ya kodi hii yanakuwa upande gani kwani kodi hii inatumia TIN moja yakusanyaji. marejesho yanamfikiaje mlipakodi? naomba anaefahamu inafanyikaje atupe elimu kidogo ya sheria hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.