Recent content by Charles Laizer

  1. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna athari yoyote naweza pata nisipofanya mapenzi?

    Hakuna tatizo kabisa,endelea kumwomba Mungu ili uweze kujitunza mpaka mwisho.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sababu za Godbless Lema kupoteza ramani

    Ndugu yangu wewe uliye toa post hii ndio umepoteza mvuto kwenye familia yako, LEMA GODBLESS hajapoteza mvuto wala umaarufu, LEMA in shujaa wa Tanzania na Arusha. Nyie najua mnajaribu kuwa kumchafua Lema lakini Mungu atamsafisha. Mpe pia mkuu wa mkoa salamu aendelee hivyo. Najua hats mabalozi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini cheo cha Meya kisifutwe, kina faida gani?

    Cheo cha moyar ni kikubwa mno kuliko mkuu wa mkoa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

    Mtu anaye jielewa afanyi kitu kwakukurupuka.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Makonda ni kombora ambalo halijaelekezwa pa kutua, linaweza kutua sehemu yoyote!

    Anamakanisa mia nne (400) kote duniani ,inawezekani kabisa ,kwani kwa Tanzania tua ana watu elfu saba (7,000) kuwa na wtu milioni 70 ni sawa.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa kisa cha Mama Mjane aliyemlilia Rais Magufuli kuhusu kudhulumiwa Mirathi

    Ila kwa sasa MZEE kaingilia kati. Tutajua tuu.
Back
Top Bottom