mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Ndugu wana jF,
Nimefanya utafiti binafsi nimegundua umaarufu wa wa Lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani;
Sababu:
1. Kutoka maabusu uchafuni na kujiamulia mwenyewe kuwasamehe wabaya wake bila ridhaa ya sisi watanzania, as if alikuwa anaumia pekee yake na familia yake akiwa maabusu uchafuni.
2. Kutoka na kuingia moja kwa moja kwenye mambo ya kiroho as if alikuwa maabusu wa kiroho, sio wa kisiasa. Hapa BAVICHA wamewekwa njia panda. CDM njia panda Wanajimbo la Arusha njia panda. Mpaka na wapinzani wake wamewekwa mdomo wazi.
3. Kutoka uchafuni na kusema hana kinyongo na mtu as if mle ndani maabusu alikuwa paradiso au casino. Hapa sasa kapunguza mzuka wa makanda wapinaji, katukatisha tamaa, Makomando wake wameugua ghafla
4. Kutoka na kumuandikia rais walaka badala kuitisha mkutano Arusha mjini ausome mbele ya makamanda, rais ausikie tu magezetini na redioni
Kumpelekea walaka rais ni sawa na kujisalmisha kwa wapinzani wake (CCM)
5. Kutoka na kuanza kuhubiri hapa kawapoteza makamanda wapagani na waislam kwani wamedhani ni mambo ya kikristo (kiroho) swala la Lema Umaarufu umepungua
6. Kutoka na kumruhusu wema nyumbani kwake imempunguzia umaarufu kwani watanzania wengi wanadhani ataanza kupiga vyombo!
7.Hivyo kutoka kwa Lema gerezani kwa mpunguzia umaarufu toka makundi mbalimbali
8. Kwa sababu hizo ametoa mwanya kwa CCM kuchukua jimbo