Kwanini cheo cha Meya kisifutwe, kina faida gani?

Shida ya vijana wetu siku hizi sijui ni bangi au elimu ndogo. Ungesoma mfumo wa uendeshaji wa uendeshaji serikali usingeuliza hilo swali.

Mfumo unahitaji check and balance kama ilivyo serikali na mihimili yake. Katika ngazi ya serikali za mtaa nayo inamifumo yake.

Ukiisoma ukaielewa utakuja kufuta hii thread
 
Ni kweli mkuu sana ukizingatia madudu anayofanya meya wa ubungo! Hajui lolote!
 
Ni kweli mkuu sana ukizingatia madudu anayofanya meya wa ubungo! Hajui lolote!

Hamshindi Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Dar,Mkuu wa wilaya ya Arumeru akifuatiwa na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni.

Vyeo hivi vilitakiwa vifutwe tu wanakula pesa zetu kwa kukifanyia kampeni chama Cha Masogange.Ambacho kwa miaka 55 walichofanya ni kujilimbikizia mali na kuifilisi nchi.

Hata Marais wake walitakiwa wawepo Kisongo badala ya uraiani.
 
Hivi zaidi ya kusimamia vikao vya halmashauri wana kazi gani nyingine? Kwanini wasifute hicho cheo ili kupunguza matumizi?

Hivi meya yupo kwenye muhimili gani wa serikali?
Nini tena meya ni mwakilishi Wa wananchi .heri ungesema mkuu Wa wilaya na mkoa ndio hawana kazi .pia na wasi wasi hii chuki yako juu ya meya .usikute inasababishwa na kumnanga bashiiiteeee
 
Hivi zaidi ya kusimamia vikao vya halmashauri wana kazi gani nyingine? Kwanini wasifute hicho cheo ili kupunguza matumizi?

Hivi meya yupo kwenye muhimili gani wa serikali?

Kweli Watanzania tuna matatizo mengi na makubwa sana. Yaani unafikiria kufuta vyeo vya wananchi badala ya kufikiria kufuta na kulaani vyeo vya watawala Kama vile RC na DC. Tupate elimu ya Uraia jamani.
 
Ni kweli mkuu sana ukizingatia madudu anayofanya meya wa ubungo! Hajui lolote!
Yule Marehemu wetu aliyekuwa na mke mmoja na wajane watano ivi alitufanyia nini? Au kwasababu alitoka kwenye kile chama cha wanyang'anyi? Hakika nasema sisiemu ni laana ya watanzania.
 
Hivi zaidi ya kusimamia vikao vya halmashauri wana kazi gani nyingine? Kwanini wasifute hicho cheo ili kupunguza matumizi?

Hivi meya yupo kwenye muhimili gani wa serikali?

umejisahaulisha nadhan umeahau kuwa hao ni machaguo ya wananchi... wanaopaswa kufutwa ni vyeo vya wakuu wa wilaya na mikoa ambao wengi wao walikataliwa na wananchi wakati wa kuusaka ubunge na kuishia kuliwazwa kwa kipewa izo nafasi.... ila kwa wanayoyafanya yamesaidia kutufanya tuzidi kuichukia ccm
 
Mayor kipo dunia nzima cheo cha kufuta ukuu wa mkoa na wilaya nchi nzima hawana kazi zaidi ya kuzurura na kuwaweka ndani waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom