Recent content by charles kingunge

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata tinted taa za Magari

    Zinapita juu ya ile migongo ya namba
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata tinted taa za Magari

    Labda tinted kwenye taa lkn ishu ya 3d plate number kwangu aina shida nakama gari ni namba T432CKV alafu ikatengenezwa 3d ivoivo aina shida labda usajili uwe T432CKV alafu ukaandika CKL ilo sasa jambo jengine na ni luksa kukagua maana gari siinatembea na Copy ya Card
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi yaliyomkuta Yusufu yananinyemelea

    Kuna mtu alishasemaga umu kuwa papachu aijawai kumuacha mtu sarama so take care bloo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hizi simu za Tecno Spark 3 zina matatizo gani?

    Au jaribu kudownlod auto 2g na 3g ili iwe inachagua yeyewe
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Wasafi TV app ikiwa na channel zaidi ya 11 za sports

    Link inakataa kwangu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Car alarm systems si salama sana, kuna siku nilikua nafungua gari kwa remote, gari nyingine nayo ikafunguka

    Ata za kutoka nazo kiwandani pia uwa zinaingiliana adi funguo uwa zinaingiliana ilatu uwa wavivu wa kujaribu ila nilishawai kuakikisha
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Usipokuwa na msimamo litakusumbua ilo jambo mii nilijikanyagaga ivo ivo sikuwa na msimamo mmoja leo nina kesi ustawi wa jamii
  8. C

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Vipi hawa jamaa wa team tecno sijaona divice zao ubaoni
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je, siri hizi utamwambia mwenzi wako?

    OK safii
Back
Top Bottom