Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Habari za wikiendi wataalamu.
Kuna simu hapa Tecno Spark 3, tatizo lipo upande wa network.
Sehemu ya kuseti network kuna option mbili tu ambayo ni
[emoji819]3G
[emoji819]2G
1. Uliweka 3G laini zinaandika Emergency Calls Only
2.Ukiweka 2G minara inasoma kama kawaida ila ukijaribu kumpigia simu mtu hata aliyekuwepo jirani yako inaita tu hata jirani yako hapati taarifa kama unapiga simu.
Msaada wenu wataalamu.
Mwl.RCT
Chief-Mkwawa