Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Itel A51

Member
Jun 4, 2020
49
82
Habari zenu ndugu?

Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.

Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi sana.

Binafsi nna huyu binti kabla hajanipa taarifa kua anaujauzito alikua ananiuliza maswali mengi sana ambayo mpka sasa yananipa utata.

Mfano:
1. Hivi fulani (jina langu) unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye ujauzito au mtoto wa mtu mwingine? Hili swali kila nkikumbuka nachoka coz yeye kaniuliza mara 2 nyakati tofauti tofauti na rafki pia aliniuliza.

2. Mfano leo nkapata ujauzito utafanyaje? Hapa nahisi alikua ananpima akili ili ajue ananiingiaje?

3. Kuna day nlimkuta yuko so sad and silent, nkamuuliza "unaumwa?" Kajibu hapana, "tatizo nn?? Mbna uko hvo?" Kajibu hamna shda, nkamtania "au umetoa mimba?" Hilo swali lilisababisha ugomvi sku hio stak hata kukumbuka.

4. Last month aliniambia akipata ujauzito bas ataondoka na kwenda somewhere ambako hakuna atakae muona, nkamuuliza kwanini akasema "basi tu"

Then two weeks ago ananambia ana ujauzito wangu, nashindwa kumuamini coz nna series ya vitu kichwani vinavyofanya roho ikatae kabisa na kuona kuwa hapa kuna game nachezewa. Hapo juu nmetaja baadhi tu.

So wakuu naombeni ushauri wenu, coz me kulea mtoto sishindwi wala siogopi, ila nnachoogopa ni kulea mtoto asie wangu "For the rest of my life"
 
Umeanza kung'onoka naye toka lini.. Unaweza kucheck hata mda/umri wa mimba japo DNA ni muhimu sana...ila hili suala la kutoa majibu yanayofanana nawaza kulikubali maana wanaogopa mtoto kukosa mlezi/malezi/huduma so humanely
According to yeye anasema ujauzito una week saba but me nlisha-suspect tangu kitambo and nkamwambie bas tukapime kama ana ujauzito akawa "Hataki"... Just imagine mtu hataki kujua hali yake ya Afya?!?? Especially swala la ujauzito?
 
Wasichana wengi wapo hivi anaweza kuwa na mahusiano na wanaume wengi kwa wakati mmoja akija kubeba mimba anakua Hana uhakika mimba ni ya nani Kati ya hao wapenzi wake, hii nimeiona Sana so anatafuta mtu mwenye uelekeo kidogo anambambikia kwahiyo kupima DNA ni muhimu coz anaonekana hana uhakika mimba ni ya nani?
 
Back
Top Bottom