Kiwanda cha Tofali kinauzwa Kigamboni
Price 35 Million
Payment method cash or installment
Call 0692 275 216 Whatsapp
Kiwanda kipo mtaa wa Muhimbili primary school Kigamboni mazingira eneo limegusa Barabara
Ukubwa wa plot SQm 2000
Facilities zilizopo
umeme three phase [emoji736]
maji ya...
Kwanza kabisa fanya research ya Location especially kwenye maeneo yananayo kuwa kwa kasi hasa ya makazi na viwanda yenye miundombinu rafiki kwa aina ya bishara husika.
Ni vyema ukipata eneo kuanzia nusu heka sqm 2000 ama zaidi na liwe tambarare
Pili ni vyema ukatafiti upatikanaji wa materials...
Degree ya Toursm ipo kabatini tu na sidhani kama nitakuja kuomba kazi tena.
Nilianza kama dalali wa Viwnja na mashamba baada ya kuona ajira imekuwa ngumu kupatikana lakini nilikuwa nikaimini ipo siku nitafanikiwa.
Nilikutana na Kijana mwenzangu anaitwa Jeff yeye ana experience na biashara ya...
Vigezo ni
Leseni
Tin number
Kibali cha TFDA
Mtaji inategemea na layout ya Duka lako unataka lionekane vipi
Maximum ukiwa na Milion 5
But hata ukiwa na Milion 3 kwa kuanzia sio mbaya.
Hello!
Kindly please [emoji1317] naomba kama mtu ana connection ya Land Saveyour aliesajiliwa na bodi ya masaveyor anisaidie mawasiliano yake.
My phone number 0692275216
Email:Charleswilsonavn@gmail.com
Nauza Kiwanja kilichopimwa Square miter 296
Jirani na Azam Factory Mwandege.
Kiwanja kipo katika mazingira tulivu umeme upo umbali wa mita 16 tu. Maji masafi unavuta kwa jirani mita 25 tu
Kiwanja kipo km 1 kutoka Azam factory barabara ya kilwa road
Kina Docments zote.
Bei: Tsh 6,500,000 tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.