Recent content by chapati

  1. C

    Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

    wana cdma msiofu ki2 bwana mkubwa we2 sio soba,ila ss inabid tufkil nn cha kufanya kutokana na hii kamatakamata ya viongozi wetu dhid ya hii serikari ya kibabe,tusisubili mpaka tuambiwe na viongoz we2.mwanadamu kazaliwa siku moja na atakufa siku moja.let us wake up guys
  2. C

    Mwandishi wa Kimarekani akamatwa Tarime: Aingia nchini kinyume cha sheria; apiga picha waliouawa

    yani kuanzia mbunge.hao mapolis huchwara na chama chao cha magamba wamechanganyikiwa kabisa itawezekana vp kila ki2 chadema!acheni utotooooooooooo huo,mijbaba mizima inabiefu kama watoto wa chekechea!nchi imekwisha washinda mkalime.msitafute sababu za kipuuziiiiiiiiiiiiiiiiii
  3. C

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    kutokana na taarifa ya habari ya leo ucku kamanda masawe bila haibu amesikika akisema,anashangaa kuona kati ya watu wanane waliokamatwa na polisi huko tarime wanne ni kutoka singida,eti anapata mashaka mpaka anauliza singida na wakurya wapnawap?sasa amesahau yeye ni mchaga je, wachaga na wakurya...
  4. C

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    nawaaminia wanatarime.makamanda wa nguvu.mungu yu pamoja nao wakati huu
  5. C

    kwanini kila jambo lawama kwa chadema?

    imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa serikali kuiraumu chadema kwa kila jambo linalojitokeza nchini eti wanasiasa wachama furani ndio wa wanaowachochea wananchi kuipinga serikali juu ya mambo mbalimbali yanayotokea nchini kwa sasa!mimi ninachofahamu chadema ni chama cha kisiasa na kinafanya kazi...
  6. C

    CHADEMA wanani dissapoint kwa kweli

    wamekusoma vizuri i hope watajrekebisha boss,sometimes kujisaau kupo,chadema hakiongozi na malaika,kinaongozwa na watu!so dont be dissapointed,wake up man!
  7. C

    CHADEMA wanani dissapoint kwa kweli

    poa boss ila tulichukulie ili kama changamoto ili tuzid kusonga mbele.chadema haiongozwi na malaika,inaongozwa na binadamu,so madhaifu madomadogo kama hayo sometimes yanatokea,so dont be dissapoint,mapema mno mzee!
  8. C

    chadema wasababisha Vurugu muswada wa katiba zenji?

    jamaa hawana hoja kabisa kuhusu inshu ya katiba.we have to tel people huu muswada noma let us stand together kuupinga kwa nguvu zetu zote.itakuaje rais ambaye ni mwenyekit wa ccm na kada mkuu wa chama awe mtu pekee atakae wateua hao members wa tume.
  9. C

    chadema wasababisha Vurugu muswada wa katiba zenji?

    big up shehe aliefanya hivyo.sasa waseme kwamba ni udini.
Back
Top Bottom