Edson Zephania
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 517
- 112
Kweli AMANI haiji ila kwa ncha ya UPANGA, BUNDUKI, MIKUKI na MISHALE. Kazi leo ipo
Mauwaji yaliyofanyika Nyamogo yameikalia vibaya sana serikali.....Your right ndugu!... Kama ni kweli wamepora/iba maiti lazima kuna something big veeeery big behind the scene!
Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa huko Tarime hali ni mbaya sana baada ya Polisi kupiga Mabomu na kuwakamata Lissu ,Waitara na Makamanda wengine wa CHADEMA.Polisi wamepiga mabomu hayo ili wapate nafsai ya kuvamia Mochwari walikohifadhiwa marehemu.Hali si shwari kabisa.
Naomba tuwaombee wenzetu wote wa Tarime ili MUNGU awalinde na kuwaepusha na mabaya zaidi.
habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa huko tarime hali ni mbaya sana baada ya polisi kupiga mabomu na kuwakamata lissu ,waitara na makamanda wengine wa chadema.polisi wamepiga mabomu hayo ili wapate nafsai ya kuvamia mochwari walikohifadhiwa marehemu.hali si shwari kabisa.
Naomba tuwaombee wenzetu wote wa tarime ili mungu awalinde na kuwaepusha na mabaya zaidi.
Yote haya yanasababishwa na rais lege lege ambaye anakumbatia wezi wa rasilimali na urithi wa Watanzania, sio kumlaumu lakini kutokana na u k w e r e wake ie jamii anayotoka ya watu wavivu ambao hawakupigana hata vita katika kabila lake ambalo wengi walichukuliwa utumwa anaona ni sawa na ufahari kwa Watanzania kuwa watumwa ndani ya nchi yao. tunahitaji kumwondoa huyu kibaraka kabla mambo mengi hayajaenda mrama.
Yote haya yanasababishwa na rais lege lege ambaye anakumbatia wezi wa rasilimali na urithi wa Watanzania, sio kumlaumu lakini kutokana na u k w e r e wake ie jamii anayotoka ya watu wavivu ambao hawakupigana hata vita katika kabila lake ambalo wengi walichukuliwa utumwa anaona ni sawa na ufahari kwa Watanzania kuwa watumwa ndani ya nchi yao. tunahitaji kumwondoa huyu kibaraka kabla mambo mengi hayajaenda mrama.
Nasikia aina fulani ya hasira ndani yangu. Ngoja niondoke kwenye key board hii..............maana nasikia kuvimba kwa hasira isiyoonekana.......
Kumbe chanzo chake ni hicho!.Wacha nikalale.ni kuwa tangu majira ya saa moja jion leo polisi walipeleka barua kwa katibu wa cdm na kuwaeleza kuwa kutokana na sababu za kiintelijensia hawaruhusu marehemu kuagwa kesho uwanja wa saba saba kama walivyokubaliana jana.
ZIkawepo taarifa zilizovujishwa na polisi wadogo kuwa wanalazimishwa kwenda kuchukua maiti usiku huu mochwari ila hawajaambiwa wanazipeleka wapi ,ndipo wananchi na wakina lissu wakaamua kwenda kushirikiana kulinda marehemu wao.
Polisi kuona ivo wakakata umeme tangu saa moja usiku na ilipofika saa nne wakaenda kuwavamia na wamewapiga sana mabomu ili kuwatawanya na kuwakamata hata wazazi wa marehemu,na kuchukua miili .sasa ilipopelekwa hapajulikani mpaka sasa.
JAna Marando na CHAGONJA walikubaliana kuwa marehemu wataagwa kwa heshima za mwisho kutolewa uwanjani. sasa sijui hali itakuwaje.
na sasa watu wanapiga yowe ambalo ni ishara kuwa kila mwenye silaha atoke maana kuna jambo la hatari.
ntawajuza zaidi baadae.