Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

Kwa kusudi hili Aikaeli Mbowe ulichaguliwa. Maana sasa hapa unatia mhuri msingi wa harakati za kuiingia siku mpya ya ukombozi, iliyoaminiwa na watu waliokandamizwa na kuonewa katika ardhi yao wenyewe.
Uwe mwenye moyo mkuu, kwa kuwa upo kwenye mioyo yetu watanzania. Tutakutia nguvu katika hali na mali. Hili tutalifanya sii kwa sababu wewe una la zaidi yetu, bali kwa kuwa umeichagua ile njia nyembamba ya kudharauliwa na kunyanyaswa kwa ajili ya wanyonge, watu wa taifa hili. Tatakuwa wenye dhambi kubwa sana tusiposhikamana na wewe na kuzidi pia katika kipindi hiki taabu. Wewe mwenyewe utajua kwa hakika hatuwezi kukuacha peke yako kwa jinsi tutakavyo kuwa na wewe bega kwa bega.
Damu waliyoimwaga Tarime imewatia wazimu na hii damu haitawaacha mpaka watakapolifikilia shimo lao.
.
 
Natoa rai kwa polisi, mahakama na serikali iliyoko chini ya chama cha magamba kumuachia kiongozi wa kambi ya upinzani na mwenyekit wa CDM taifa haraka iwezekanvyo kabla hayazuka matatizo mengine.

kama ni nguvu ya umma tunayo na umma utashinda.
 
Wapenda haki wa Arusha Hakikisheni huyo hakimu aliyetoa amri ya kukamatwa kwa Mbowe Hiyo jumatatu atoe kabisa na hukumu Tujue siku ya ukombozi imefika, akishindwa kutoa hukumu na ahailishe kesi aende yeye Lupango kwani hajui kazi hawezi sababisha hali ya hatari ya nchi kwa upuuzi wake wa kuhairisha kesi kila siku ikifika blad shait!..

Wacha nimpigie simu bank mun..!
Awaandalie kambi ya Ukimbizi Magamba haya Manyonyaji...
 
vijana wote wapambanaji msibaki nyuma kwa hili..mavazi yao yasitutishe Mungu wetu atutetee,nipo maeneo haya naona move yote,freedom is coming soon.
 
angekuwa dr.slaa au zitto ningeingia barabarani ila mbowe hata ukinipa hela siingii barabarani

So kwa mtu kama Mbowe kufanyiwa uonevu huu wa magamba ambao umeazimia kukidhoofisha chama cha CHADEMA na kuwajengea hofu ni sahihi sio?..maana mbowe ni mwenyekiti sasa kama mwenyekiti wanamfanyia hivi si ni kuwatisha wengine..Kwa hiyo kwa Mbowe aonewe kwa Dr Slaa na Zitto ndio utaingia barabarani?nina mashaka na uelewa,utu wako!!
 
vijana wote wapambanaji msibaki nyuma kwa hili..mavazi yao yasitutishe Mungu wetu atutetee,nipo maeneo haya naona move yote,freedom is coming soon.
Acheni fujo,hazitawafikisha popote zaidi ya kuwaudhi watanzania wengine wanaopenda haki,
Kama kukamatwa kwake ni kinyume cha sheria,hiyo itajulikana mahakamani,
Sidhani kama watu wanaweza kuvunja kituo cha polisi ili kumtoa Mbowe,mtapoteza hata kuungwa mkono na mashirika na taasisi za haki za binadamu.
 
Naomba kuuliza wanajf na wanachadema kama mbowe atauwawa kwenye harakati hizi mtafanya nini?

Hakuna anayeomba hili litokee lakini kama litatokea athari zake zitakuwa kubwa sana kwa nchi yetu. Kunaweza kukatokea ghasia ambazo hatujawahi kusizikia wala kuziona tangu tupate uhuru miaka 50 iliyopita. Mungu apishilie mbali.

Kosa gani alilolifanya Mbowe hadi kudhadhalishwa kiasi hicho na kuwekewa ulinzi mkali utadhani ni gaidi!? Mafisadi wameshindwa kuwakamata lakini sasa wanataka kuwadhalilisha Viongozi wa CHADEMA kwa kiwango cha juu kabisa kwa makosa ambayo hayana uzito wowote.
 
jana tulitahadharisha juu ya ile Press release. Haikuwa na kitu na haikujibu hoja za maana. Haikuzungumzia kama Mbowe ametoa taarifa mahakamani na pia mdhamini wake amefika. Ukweli uandishi wake uliwashtua wengi ambao wanasoma between lines. Lakini on other hand huwenda ni mtego wa CDM na serikali imeuvaa.
Lakini katika hali yoyote ni vyema kuheshimu mahakama zetu. Ni mahakama hizi ndio CCM na CDM hukata rufaa kupinga maamuzi ya chaguzi. Kwahiyo walau bado zinaaminika. Hapa polisi hawastahili kulaumiwa wao ni watekelezaji tu wa amri ya mahakama. cDM could have done better to avoid this.
 
Natoa rai kwa polisi, mahakama na serikali iliyoko chini ya chama cha magamba kumuachia kiongozi wa kambi ya upinzani na mwenyekit wa CDM taifa haraka iwezekanvyo kabla hayazuka matatizo mengine.

kama ni nguvu ya umma tunayo na umma utashinda.

anza kuonyesha nguvu ya umma
 
Acheni fujo,hazitawafikisha popote zaidi ya kuwaudhi watanzania wengine wanaopenda haki,
Kama kukamatwa kwake ni kinyume cha sheria,hiyo itajulikana mahakamani,
Sidhani kama watu wanaweza kuvunja kituo cha polisi ili kumtoa Mbowe,mtapoteza hata kuungwa mkono na mashirika na taasisi za haki za binadamu.

hakuna haki huko majaji anachagua KIKWETE na anaweza kuwatimua kama hakitaka, ni kama mtu unavyoweza kukatiza mkataba kama wa shamba boy wako, na ili ni tatizo la kikatiba hapa yawezekana huyo hakimu ni TV watu wana change channel wanavyotaka huko LUMUMBA ccm headquater, unadhani kuzomewa mchezo, MUKAMA kazomewa kwao.
hakuna haki mahakama za tanzania ni wanyonge kubondwa tu.
mahakimu wanahukumu kwa kusikiliza serikali inataka nini katika kesi, hakuna common sense
mimi sijasoma sheria lakini kuna kesi nyingi ningekuwa hakimu mzuri moja ni hii maana hakini za binadamu ni kitu cha kisheria ni issue ya kuji update tu.
ndio maana mimi naona kufanyakazi serikali ni kuwa kama mke wa mtu. ni kutumika tu na ukileta kujua wanaku kolimba
jana tulitahadharisha juu ya ile Press release. Haikuwa na kitu na haikujibu hoja za maana. Haikuzungumzia kama Mbowe ametoa taarifa mahakamani na pia mdhamini wake amefika. Ukweli uandishi wake uliwashtua wengi ambao wanasoma between lines. Lakini on other hand huwenda ni mtego wa CDM na serikali imeuvaa.
Lakini katika hali yoyote ni vyema kuheshimu mahakama zetu. Ni mahakama hizi ndio CCM na CDM hukata rufaa kupinga maamuzi ya chaguzi. Kwahiyo walau bado zinaaminika. Hapa polisi hawastahili kulaumiwa wao ni watekelezaji tu wa amri ya mahakama. cDM could have done better to avoid this.
 
jana tulitahadharisha juu ya ile Press release. Haikuwa na kitu na haikujibu hoja za maana. Haikuzungumzia kama Mbowe ametoa taarifa mahakamani na pia mdhamini wake amefika. Ukweli uandishi wake uliwashtua wengi ambao wanasoma between lines. Lakini on other hand huwenda ni mtego wa CDM na serikali imeuvaa.
Lakini katika hali yoyote ni vyema kuheshimu mahakama zetu. Ni mahakama hizi ndio CCM na CDM hukata rufaa kupinga maamuzi ya chaguzi. Kwahiyo walau bado zinaaminika. Hapa polisi hawastahili kulaumiwa wao ni watekelezaji tu wa amri ya mahakama. cDM could have done better to avoid this.
CDM wangefanya nini mkuu wangu maanake sheria yenyewe imewekwa kuwalinda viongozi wetu na Mbowe kama Mbunge anatakiwa kupewa heshima hiyo. Kama taratibu hizo zitakiukwa na chombo chochote cha usalama hatuwezi kuhalalisha tukio hili sababu nyingine ambazo hazipo ktk vifungu vya sheria.
 
Nadhani kukamatwa kwa Mbowe ambaye ni kiongozi wa upinzani bungeni, na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa kesi ya kisiasa ni swala la kuangaliwa kwa makini. Maandamano yanayofanywa na CHADEMA na mwitikio wa watu, hali ya maisha ya watanzani kuzidi kuwa mbaya, na CCM kuonekana kuharibika taswira yake mbele ya umma ni mambo ambayo yeyote anayefikiria atashawishika kuamini kuwa kukamatwa na kushtakiwa mara kwa mara kwa viongozi wa cdm na sasa kukamatwa kwa Mbowe kunaweza kuwa na ajenda ya kuzima na kudhoofisha kasi ya mabadiliko nchini.

Kwa msingi huu ni vyema wanasheria wa cdm, viongozi, na wafuatiliaji wa mambo mtuhabarishe kila hatua kuhusu kile kinachoendelea juu ya Mbowe, na viongozi wengine. Nadhani anayefuata kukamatwa sasa ni Dr. Slaa. Tafadhalini tujulisheni, Mbowe anasafirishwaje na lini, na usalama wake unahakikishwaje?
 
wana cdma msiofu ki2 bwana mkubwa we2 sio soba,ila ss inabid tufkil nn cha kufanya kutokana na hii kamatakamata ya viongozi wetu dhid ya hii serikari ya kibabe,tusisubili mpaka tuambiwe na viongoz we2.mwanadamu kazaliwa siku moja na atakufa siku moja.let us wake up guys
 
tunaweza kuitumia hii miaka 50 ya uhuru tunayotarajia kuifikia kwa kufanya ukombozi mpya na wa kweli na kuandika historia mpya.
Pipozzzzzzzzzzz pawaaaaaaaar
"death is inevitable in freedom fighting"
 
Huu ni mwanzo tu, habari zilizopatikana kutoka kwa under cover zinaeleza kitakacho fuatia kwa Chadema ni Tsunami kuliko iliyotokea Japani ,Let wait and see .
 
Huu ni mwanzo tu, habari zilizopatikana kutoka kwa under cover zinaeleza kitakacho fuatia kwa Chadema ni Tsunami kuliko iliyotokea Japani ,Let wait and see .

Mmmhhh!
Vipi habari za uliko toka?
Mbona unaleta issue inaeleelea juu juu??
Tag
KIKWETE
JAPAN
TSUNAMI
CHADEMA
Hujasomeka kabisa!!!!@::***
 
Guys kama kuna mawasiliano yoyote huko alipo,mwambieni asikubali kula chakula chao hata kidogo.maana hatuwezi jua.
 
Back
Top Bottom