Ndugu habari zenu, naomba anayefahamu anisaidie ,Nina wadogo zangu wawili mapacha walimaliza kidato cha nne mwaka 2015 ,kulingana na hali yangu ya kipato kuwa ngumu sikuweza kumaliza kulipa ada yao ,hivo wanadaiwa deni kubwa hapo shuleni na hadi sasa hawana vyeti vyao vilibaki hadi...