Recent content by Chapa Nalo Jr

  1. Chapa Nalo Jr

    PreGE2025 Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

    Committal proceedings zinaanzia hapo, then ikiwa tayari ndio inahamia Mahakama Kuu
  2. Chapa Nalo Jr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Mkanganyiko huu Na Katiba yenu inasema uhuru wa kuabudu uheshimiwe
  3. Chapa Nalo Jr

    Wapi The Bold na wasimuliaji wengine bingwa? Makabrasha ya siri (classified files) ya uchunguzi kifo cha J.F Kennedy hatimae yameachiliwa

    The Bold ameanzisha group saaafi huko WhatsApp, members only on monthly pay. Mambo ni moto huko. Anadondosha vitu vizito.
  4. Chapa Nalo Jr

    Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

    Mbona kama Manzese Midizini au Temeke Sudan hapa!? Yaani wataishi mtaa chokochoko hivi!?
  5. Chapa Nalo Jr

    Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

    Na wewe kausha na wala usimjulie hali mpaka mwisho wa trip yako, hata siku ya kurudi usimwambie
  6. Chapa Nalo Jr

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mbona Mwananchi Digital wameonyesha picha ya Bashite akiwa msibani kwa Gadner hapo viwanja vya Leaders Club! Kwamba ameshotoka DODOMA tayari?
  7. Chapa Nalo Jr

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    Umeona mbali. Tulikuwa na wagombea marehemu to be soon wakutosha! Haya tumuachie Mola.
  8. Chapa Nalo Jr

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    RIP Ngoyayi Lowasa. NB: Katika watu ambao kwa msiba huu atafuatilia sana udaku, video na maneno mitandaoni kuhusu msiba huu kabla ya kuamua namna ya ushiriki wake, basi namba moja ni Mkwere wa pande za Msoga!!!@#$^^*&%%$#=995&^$×@#£^.
  9. Chapa Nalo Jr

    Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

    Mimi nimeamua kuandikisha mali zangu jointly kwa watoto wangu wa ndani ya ndoa, baada ya mchepuko kunifanyia tofauti na makubaliano akakazaa. My wife nae namjengea yake. Ila huyo mtoto wake najua hana kosa, naye najipanga kumjengea ingalau kajumba ambako nitakuwa joint owner. Yawezekana...
  10. Chapa Nalo Jr

    Je, katika bajeti ya Mwigulu kuna ongezeko la kodi kwenye pombe?

    Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili? Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala...
Back
Top Bottom