Recent content by Chang’oe

  1. Chang’oe

    Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

    kasome maana ya "tapeli"katika penal code then yeyote utakayeona anamatendo sawa na yalivyomaanishwa kwenye tafsiri ya tapeli basi ripoti. Kwa unavyohoji ni sawa na kuona mtu amekatwa mkono,kiganja kimetenganishwa alafu uhoji kwanini tuseme amekatwa mkono wakat doctor hajathibitisha kama mkono...
  2. Chang’oe

    Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

    Mh bro hii ni good english[emoji848]I couldn't can[emoji134]
  3. Chang’oe

    Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

    Mimi siimbi bro...Kila mtu ashinde mechi zake
  4. Chang’oe

    Tanzania hii yote hakuna fundi simu wala compyuta!

    Ni kweli mzee,kwa wengi tukipeleka wanasema imekufa[emoji28]
  5. Chang’oe

    Ushuhuda wangu kuhusu kaburi la Hayati Magufuli

    Sasa imeleta habari na inasemwa huwezi kuelezea...Hii imekaaje kisayansi
  6. Chang’oe

    Mfumo huu mpya wa kuomba leseni za biashara Serikali ifikirie tena mapato yanaenda kupotea

    Sasa hana hela na anataka kufanya biashara.Nadhani kwa upande wangu serikali ipo right na hii itaepusha changamoto ya mlolongo wa kufatilia halmashauri
  7. Chang’oe

    Wimbo wa Zuchu (Kwikwi) kutungiwa mitihani wa shule; Serikali mko wapi?

    hapo mtawasingizia wazungu wanaeneza nini sijui...Ni hivi,mtunzi wa paper ni baba levo
  8. Chang’oe

    Hesabu na mafanikio yako

    haya sasa hiyo ni kwa wazungu,tumia lugha yako kutoa tafsiri,nimekaa pale ukipata jibu nishtue
  9. Chang’oe

    Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Chang’oe

    Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

    duh we jamaa mbona mahaba yamezidi,nani kazungumzia uraisi?
  11. Chang’oe

    Pamoja na Stadi zote hizi, Bado ni changamoto kupata kazi

    bro nashauri,kuanzia sasa hesabu kuwa kazi za muda mfupi ndo kazi zako then anza kuishi utaona zinakuwa nyingi na unafanya maendeleo,ukisema unajishikiza mafanikio nayo yanajishikiza kama unavyofanya
  12. Chang’oe

    Rais Samia ikikupendeza mfuatilie kijana wako Bwana Mponela Mathei mwenyekiti mstaafu wa UVCCM wilaya ya Kigamboni, ana CV nzuri sana

    Kwahiyo apewe kazi kwasababu ni ccm?afungue acc ajira portal,wakitangaza aombe na apite kwa usaili kama unamuamini yupo smart
  13. Chang’oe

    Helicopter ilikuwa inamuonesha nani matokeo ya sensa huko angani?

    Naqambia hili, siku kila mmoja akiweza kujimudu kiuchumi basi sisiemu watatoka madarakani.Kutufanya masikini ndio mbinu kubwa wanaitumia kubaki madarakani,yani wanafanya tuwe masikini ili tujisubmit kwao,tupige magoti tukiomba kheri... Basi niwaambie,tusisubili watoke ndio tuwe matajiri,tuwatoe...
  14. Chang’oe

    Waziri Mteule wa Uingereza, Rish Sunak Wazazi wake walizaliwa Afrika Mashariki

    mara paaap inapewa shukrani awamu ya sita kwa kutoa watanzania kwenye nyadhifa za juu katika mataifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom