Recent content by changilabike

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Cha kushangaaa nini Itv ni ya kaskazini Arusha una lalamika nini
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Haya ndo faida ya simba mwenda pole ni hatari sana maaana walikua ni vurugu tupu
  3. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmezubaa, hamjajiandaa kushinda

    Hayo ndo maisha baada ya uchaguzi kuuuza chama ndo mazara yake kusafisha chooo sikazi kazi ni pakwenda kumwaga choooo
  4. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaituhumu NEC kutengeneza Kadi feki za BVR, yenyewe yasema inachunguza...

    Mwaka huu kazi mnayo wanasiasa sisi yetu macho
  5. C

    JamiiForums Tanzania Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    Mchaga na muhaya hawawezi patana
  6. C

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Tuko pamoja brooo mi nilikua natafuta chama kisafi kila nikitazama huku ukabila ballaaa halafu wameeneza sana siasa za chuki mi kama mtanzania namuomba zito kabwe mpya aje na sera bora bila siasa za chuki udini ukabila tupa kule asimamie haki naamini...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Kwa hiyo tukusaidien nini mbona alikufa chacha wangwe hamkulalamika hivi imewauma zito kukuachieni chama mlitegemea yeye awalambe ili mrudishe
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ajali Daraja la Kinyerezi, Daraja halipitiki

    No kibao kinacho unye sha uzito kipo tatizo ni loli kwan hii ni mara ya pili mwanzo kontena ambayo imepakia matofari nalo pia lilianguka sasa hapa ndo utakapojua watanzania ni wahalibifu sana tena sana. Halafu sisi wachangiaji mada ni wazur wa kulaumu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Maaskofu na fedha ya ESCROW

    Waislam wakilalamika mfumo cristu watu wanawaona wadin wanawakamata masheh na kuwa sweka rumande niya yao kuna mambo mengi yapo kiujanjajanja bahati huu ni wizi ndomana leo limefumuka
Back
Top Bottom